Hivi ni kweli kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea au uelewa mbovu tu

Hivi ni kweli kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea au uelewa mbovu tu

Wakuu habarini za mchana.

Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa". Kusema ukweli ile kitu ni tamu sana bila kutumia co.nd.om lakini tunaogopa hili janga ndo maana tunatumia. Sisi ambao bado hatuna mahusiano ya kueleweka tunapita sehemu nyingi sana, hasa sisi wanaume. Muda mwingine unakutana na pisi kali kinoma unatamani kubanjuka bila kuvaa soksi lakini mawazo ya hilo li ugonjwa yanakuja kichwani.

Wataalam tuambieni ukweli basi kama maji yakitosha ni ngumu kupata tuzingatie kuandaana vizuri tu ili tule mema ya nchi bila presha tukiwa bado na nguvu, uzee unakuja kwa kasi sana.
Fanya ufanyavyo, baada ya tendo hakikisha unaondoka na kondomu yako.
 
Utamu kolea,wanaokufa kwa ajali eidha za maji,moto,magari,kupigana au mengineyo nao vp.
Piga kazi,kikubwa usijifanye fundi sana.Ufundi peleka kwa mkeo na sio VISA😂😂😂😂
🤣 Kwaiyo ufundi mwingi ndo unasababisha kirusi kiingie sio?

Turudi sasa kwenye maji hapo ni ukweli kwamba yakiwepo yakutosha usalama unakuwepo
 
Huwa naamini akiwa na mma ya kutosha na wewe ukiwa na kiasi kwenye kazi wala, linakupita huko, tena kama anatumia dozi kwa usahihi ndio kabisaa hupati.

Sie wengine tulishaamua kukituliza manake tukitumia hayo mapira stim inakata..
 
Back
Top Bottom