Hivi ni kweli kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea au uelewa mbovu tu

🤣🤣 Unabadilisha mara kwa mara bila kuvaa ndom na
Karne hii ya 21 bado unaogopa ukimwi?

Upo nyuma ya wakati sana, hii karne ya 21 tunachokiogopa ni umaskini huko kwenye hoffu ya ukimwi tulishavuka kitambo ndio maana husikii matangazo ya aina yoyote kuhusiana na uki
Kuna sababu gani ya kunifanya nisiogope. Kuishi Kwa matumaini kugumu
 
Kipimo Cha kuweka mdomoni Cha HIV unalijua au unaleta mchezo mkuu mtafute mtu wa afya akueleze kuhusu Hilo kama unapiga Mzee umekwisha ninachokuongea kuhusu ilo Nina uhakika nacho
Kissing haiambukizi ukimwi unless mna sores kwenye mdomo wote wawili damu ya victim ikaingia kwenye damu yako kupitia hizo sores (vidonda). Hakuna case ya mtu kupata ukimwi Kwa mate.

Issue ya maji ndo inanichanganya maana hata expert tofauti niliowauliza Wana mitazamo tofauti
 
Hiki ndo holy spirit anakuongoza kufanya?
 
Nanukuu
" Majimaji yoyote ni makazi ya virus"
 
Kupata ngwengwe ni ngumungumu sana endapo haukamii game, kama demu humuamini piga chako kimoja tu kukata upwiru then lala mbele, kama unataka kukamia kama vile unataka ubingwa wa EPL lazima uibuke na ngwengwe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…