Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

NILIAHIDI NITAKAPOKWENDA TENA NITAWALETEA PICHA NIKIWA ENEO LA SHIMO KAMA MTOA MADA ALIVYOULIZA, nafikiri sasa ubishi utakua umeishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILIAHIDI NITAKAPOKWENDA TENA NITAWALETEA PICHA NIKIWA ENEO LA SHIMO KAMA MTOA MADA ALIVYOULIZA, nafikiri sasa ubishi utakua umeishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Shimo lenyewe ndo hlo linaloonekana nyuma yako au hata ww upo kwenye shimo? Hebu elezea kdogo hapo mkuu picha haisomeki vzur

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Shimo lipo, unaweza kuchungulia na ukaweza kuingia ndani kidogo hatua kama mbili tatu toka Surface....

Baridi ni Kali sana, safari ya kuelekea hapo huanza usiku au kuelekea alfajiri ili kukikucha muwe pale juu, wanafanya hivi coz jua Kali likikukuta kule juu kama hauna Miwani ya kuzuia mwanga, macho yatapata shida toka kwa mwanga wa jua ambao unagonga kwenye Barafu ambazo zimetapakaa kwa kiasi kikubwa huko juu...

Kingine ni kwamba wanajitahidi angalau kabla ya mchana watu wote wawe wametoka pale maeneo ya shimo coz kuna harufu Kali na hewa nzito huanza kutoka toka shimoni kadri jua linavyotoka, hewa hiyo chafu inaweza kukuletea shida ndogo ndogo za ki afya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…