Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Huna hoja wewe zaidi ya matusi.... Tatizo unahis Kilimanjaro umepanda peke yako ..tumepanda Kilimanjaro last japa atukufika kileleni tulielekezwa mambo mengi.. Na kuna baadhi ya vitu ulivyoandika sio kweli mkuu faiza

Naona huna hoja kuhusu Kilimanjaro sasa unanitafuta binafsi..

Nahisi hata nnachokiandika hukielewi ndiyo maana unaona uchi tu.

Sikushangai, ndiyo wale wale mliofundishwa shule hayajawaingia kwa kuwa tu shule ulienda kusomea ujinga.
 
Huna hoja wewe zaidi ya matusi.... Tatizo unahis Kilimanjaro umepanda peke yako ..tumepanda Kilimanjaro last japa atukufika kileleni tulielekezwa mambo mengi.. Na kuna baadhi ya vitu ulivyoandika sio kweli mkuu faiza

Wacha porojo, andika kimoja nikichoandika ambacho si kweli.

Sema una donge tu.
 
ni ngumu kidogo mkuu kwani, usafiri ni mfano moshi to machame sh 60000,kwenda siku ya kurudi ni sh 40000.gasi yakupikia 20000+,viingilio na n. k, haitoshi mkuu. mkiwa kama 5+ naweza kwenda kwa sh 200000 kila mmoja. pia mnahitaji kujibebea kilia kitu ili kupunguza wasaidizi.hapa mtakwenda na guide,mpishi na wasaidizi 2.pia kuna suala la vifaa, namaanisha person equipment gear.
Dah mkuu ngojea nitafute watu watano wakupanda July mwishoni hivi au jaman wadau ambao hapa kwenye huu Uzi tunaoweza kujiorganize kwa bajeti ya laki mbili mpaka 250000 mwishoni mwa July embu tudiscuss kama itawezekana
 
meney9 karibu sana Kilimanjaro. ila ningependa kukujulisha kua july nafasi itakua haba sana kwangu mkuu. ningeomba kama mtajiandaa pole pole mpaka mwezi wa 10 tunaweza kufanya jambo zuri zaidi ndugu yangu. samahani sana kwa hilo ndugu yangu. nakuahidi mtakapokua tayari mnijulishe ili niweze kuangalia nitawasiliana vipi na Kilimanjaro national park kwaajili ya hiyo trip na kuifanya kua nzuri zaidi.pia ningependekeza kutumia njia ya marangu ili kupunguza garama kwani camping ni garama zaidi! kwa marangu kuna (hut ) kama hostel. pia mwezi wa 10 hakuna u busy wa wageni, hii itafanya wale watakaopenda kujumuika kufurahia zaidi kwa kupata privacy tofauti na wakati mwingine. asante
 
Dah mkuu ngojea nitafute watu watano wakupanda July mwishoni hivi au jaman wadau ambao hapa kwenye huu Uzi tunaoweza kujiorganize kwa bajeti ya laki mbili mpaka 250000 mwishoni mwa July embu tudiscuss kama itawezekana
pia waweza kuja inbox tukapeana mawasiliano kwani wapo pia ambao wamejitokeza na wanahitaji kwenda. so inawezekana tukafanya jambo zuri zaidi na kwa upana zaidi.asante
 
Mkuu kilele cha mlima Kilimanjaro Kuna kitu kinaitwa " crater" crater ni ni shimo linalotokea juu ya mlima wakati [emoji291] volcanic eruption, maana yake wakati mlima unalipuka zaidi ya miaka milioni mbili iliyopita hiyo ilikuwa kama escaping route ya volcano iliyochemka chini ya ardhi. Kwa kawaida volcano ikichemka Sana huwa inatafuta week point ili ku release pressure chini ya ardhi.
Kidogo kidogo utaelewa [emoji1] [emoji1]
Ukweli hapa ndo huwa napata taabu sana kujua hivi toka Dunia iwepo hadi Leo ni miaka mingapi?? Wengine miaka Elf6 6000yrs na wengine million 3, wewe hapa umesema Mlipuko wa volcano ktk mlima kilimanjaro ni mika milioni 2 iliyopita hebu tuwekane sawa

Ukweli hapa ndo huwa napata taabu sana kujua hivi toka Dunia iwepo hadi Leo ni miaka mingapi?? Wengine miaka Elf6 6000yrs na wengine million 3, wewe hapa umesema Mlipuko wa volcano ktk
 
Dah mkuu ngojea nitafute watu watano wakupanda July mwishoni hivi au jaman wadau ambao hapa kwenye huu Uzi tunaoweza kujiorganize kwa bajeti ya laki mbili mpaka 250000 mwishoni mwa July embu tudiscuss kama itawezekana
Kuna kipindi kiwatengu alikuwa anaorganize hicho kitu sijui waliishia wapi. Mnaopenda mnaweza tu wakaorganize mkaenda.
 
Ukweli hapa ndo huwa napata taabu sana kujua hivi toka Dunia iwepo hadi Leo ni miaka mingapi?? Wengine miaka Elf6 6000yrs na wengine million 3, wewe hapa umesema Mlipuko wa volcano ktk mlima kilimanjaro ni mika milioni 2 iliyopita hebu tuwekane sawa

Ukweli hapa ndo huwa napata taabu sana kujua hivi toka Dunia iwepo hadi Leo ni miaka mingapi?? Wengine miaka Elf6 6000yrs na wengine million 3, wewe hapa umesema Mlipuko wa volcano ktk
Mkuu hizi eruption wakati zinatokea kullikiwa Kuna maisha ambayo tunayaita primitive life (Zinja thropus) ndiyo maana oldupai inatupa ushahidi huo, kipindi hicho kilikuwa na eruption ukanda wote huo kuanzia bonde la Ufa, ngorongoro crater, Kilimanjaro, nk.......... Hizi eruption na collapse, zilitokea wakati mmoja ( inakadiriwa) so mkuu unachowaza ni wakati wa homo sapiens sapiens ndio hata maandishi yaligunfulika, hapo ndio ustaarabu ulianza ndio tunasema Dunia ilianzia ila maisha yako Muda mrefu Sana
 
Mkuu donge la nini faiza. Mi ukiandika ukweli huwa nakupa sharaut but ukipotosha lzm turekebishane
Mbona huoneshi hicho nilichoandika ambacho ulidai siyo ukweli?

Sitaki porojo mimi, weka nikichoandika humu ambacho unakiona si kweli kama ulivyodai.
 
Umbali kutoka machame au marangu getini hadi kileleni, unapiga hatua mojamoja za ukakika zikifika 1000 unahesabu 1km...

Umbali kutoka usawa wa bahari, unapanda helicopter unakuwa sawia kabisa na level ya maji ya bahari yeyote (sio lazima ya hindi) unapanda vertically meters 5850

Umbali kutoka machame au marangu getini hadi kileleni, unapiga hatua mojamoja za ukakika zikifika 1000 unahesabu 1km...

Umbali kutoka usawa wa bahari, unakuwa kwny helicopter sawia kabisa na level ya maji ya bahari yeyote (sio lazima ya hindi) unapanda vertically meters 5895...hapo unakuwa level moja na aliyepo kileleni kibo....
Umeelezea vizuri boss
 
Sio kweli, washaelezea vizuri hilo humu. Watu washafika.
Uongo uko wapi sasa hapo?...alowahi kulisogelea shimo mithiri ya kuchungulia aje atoe ushuhuda hapa na atueleze nani alimruhusu kufanya hivyo na kama aliingia kwenye shimo atueleze alitokaje na mazingira ya mule yakoje?
Usipende kukurupuka mkuu.
 
nashukuru kwa wote mliojaribu kujibu na kuelezea kwa uelewa wenu. anyway, hi hivi! kupitia machame mpaka top ya mlima ni 42kms, kupitia marangu ni 34kms. mlima Kilimanjaro una 5 zones, (1) cultivate,0-1000masl,(2) montana Forest Park1000-3000masl (3) moorland 3000-4000masl(4) alpine reset 4000-5000masl (5) ice cap au summit,5000-nakuendelea. kwa wale waliopanda watakua wananielewa, base ya mlima Kilimanjaro ipo kwenye 4600-4700-4800 masl. hii inakua ni camp ya mwisho kabla ya ku summit,kutoka kwenye base camp mpaka highest point kwa wanaopitia south na western side ya mlima ni 5kms umbali. mwendo wa pole pole ni 6-7hrs walking. baridi ni kali kutegemeana na majira ila normal ipo 3-7munis.juu ya mlima kabisa kuna mabarafu makubwa yanaitwa glacier, ukweli shimo lipo ila ni mbali sana kutokea highest point. kwa kutembea kwa mtu mwenye nguvu haswa wapanda milima anaweza tumia saa 1-1:30 kufika. hili shimo linajulikana kama ash pit, au ash cone. kuingia unaweza ila sio mbali sana maana limechongeka kwa kama rim. na halina kina kikubwa ukiangalia kwa nje. nimewahi kuingia kama mita 5 .ila kuna wakati linatoa harufu kali sana ya sulphur ambayo hupelekea baadhi ya watu huumwa vichwa, kutapika,tumbo kuvurugika n. k.unaweza kuniuliza chochote kuhusu mlima Kilimanjaro na nitakujibu. kwani mimeutembea wote na nimeweza kufika highest point zaidi ya 100 times. pia mlima meru, oldonyo lengai n. k asanteni sana

Uongo uko wapi sasa hapo?...alowahi kulisogelea shimo mithiri ya kuchungulia aje atoe ushuhuda hapa na atueleze nani alimruhusu kufanya hivyo na kama aliingia kwenye shimo atueleze alitokaje na mazingira ya mule yakoje?
Usipende kukurupuka mkuu.
 
anhaa!ndio kuna shimo kubwa sana na ndani kabisa kuna mifupa ya Lucifer,alitupwa huko zamani sana!na kama hujui bustani ya Eden ilikuwa pale Uchira na Kiboriloni!

🙂 🙂
Kumbe lucifer is no more!!!
 
Back
Top Bottom