Hivi ni kweli kina Chikwende ni zaidi ya akina Ajibu!

Soka la nchi halikuzwi hivyo. Ulitakiwa uwatetee wachezaji au makocha wazawa kwa takwimu. Kwamba inakuwaje chirwa anapewa sana nafasi wakati labda chilunda ana magoli na assist kumzidi chirwa? Au inakuwaje simba , yanga ,Azam wameleta makocha wa kigeni wakati Julio, Mkwasa, mexime ,Katwila wanaweza? Yaani ulitakiwa ulete takwimu maana wote washapewa nafasi ya kuonesha uwezo wao na sio kujiuliza hivi kweli Julio hamzidi uwezo Kaze? Leta takwimu.
 
Katika timu inayojituma yenye wachezaji wa ndani Tanzania prison
 
Kwa iyo ajibu na martial wanafaa kukaa meza moja
 
Kwa iyo ajibu na martial wanafaa kukaa meza moja
Nimemaanisha maproo wa Ulaya wanaangalia zaidi kipaumbele cha kucheza na siyo fedha kama Bongo.

Mesut Ozil amekubali kuucha mshahara mnono Arsenal ili tu akapate muda mwingi wa kucheza kule Fernabace! Lakini Ajibu hana namba ya kudumu Simba, ila ameridhika tu kwa sababu mshahara wake unasoma kila mwezi.
 
Tuna mifano mingi ya wazawa mfano Mkude, yeye tangu aimbwe anajua basi anajiona yeye ni bora zaidi, nidhamu mbovu, sasa akiletewa akina lwanga na akapotezwa hapo ndio dawa ya jeuri yke itaanza kuisha..
Kazi yao kubwa wazawa wapaishwe kwny visingeli utasikia, ''tikitaka kama ajibu'' haruna moshi boban profeshino pleya'' ndio furaha zao mbwa hawa..sorry kwa kauli chafu.
 
Mkuu
Mkuu acha jazba...huo wa Simba Ni mfano tu !
Kuna mengi ya kuangalia
..hujiulizi Mtibwa huwa wanawatoa Wapi wale Vijana ambao wanatamba Ligi Kuu,Kipingu alimloga Nani mpaka akawapata kina Kaseja,
Hivi uwekezaji wa Mo au GSM ungeenda kupeleka mbele mipsngo Kama ya Bayser pale Mtibwa tungefika Wapi!
Acha Utopolo Bwana!
 
Kuna
Ukabila umeoneshwa hapa...!
Kuhusu uzalendo Ni mjinga Mpumbavu pekee asiye amini ktk uzalendo kwa kinachomhusu!
 

Huna hoja takataka tupu umeandika! Kama hao watanzania wenzako wengekua wanakua sana mpira timu yao ya Taifa ingefika mbali
Burundi ,Rwanda ,Zimbabwe tunakowatoa hao nyota wao wamefika Wapi....tatizo unayapa makalio kazi isiyostahili!
 
Acha kuongea kwa hasira utafikiri unaongea na house girl wako. Tofauti ya Chikwende na Ajibu ni uraia wao tu.
 
Ajibu na zile ndevu kwanza kila siku kwenye page yake anaandka vijembe tu aaaf uwanjani ni galasa namba 1 Zimbwe jr kijana yuko safi sana na anajituma sana wengne kna Kapombe,bocco nao wako fire tu
 
Ibrahim Ajibu bado ataendelea kusugua benchi hadi hapo paka watakapoacha kusajili kwa sifa, maana sioni wa kumnyang'anya namba pale


Mathalani kwenye mechi ya jana Thimba na Azam

Kila timu ilianzisha wachezaji 7 7 wa kigeni, wa ndani ni wa4 tu
 
Plus kujazwa sifa kwenye vyombo vya habari haswa magazeti ya michezo
 
Naona lugha gongana...Mimi niliandika kinaAjibu,naona watu wanamjadili Ajibu!
 
Burundi ,Rwanda ,Zimbabwe tunakowatoa hao nyota wao wamefika Wapi....tatizo unayapa makalio kazi isiyostahili!
Mbona hutaji Zambia ?
Kwenye CHAN unajua Rwanda wameishia wapi?

Anyway Unataka tutukanane endelea na lugha yako ya ajabu ajabu.
 
Mbona hutaji Zambia ?
Kwenye CHAN unajua Rwanda wameishia wapi?

Anyway Unataka tutukanane endelea na lugha yako ya ajabu ajabu.
Zambia IPI MKUU ya Sasa au miaka 15 nyuma!
Rwanda Ni Taifa Stars iliyocgangamka!
Zambia og ,isingetokea eti kiungo wake ...Kama Rally Bwalya she kucheza Ligi ya Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…