Soka la nchi halikuzwi hivyo. Ulitakiwa uwatetee wachezaji au makocha wazawa kwa takwimu. Kwamba inakuwaje chirwa anapewa sana nafasi wakati labda chilunda ana magoli na assist kumzidi chirwa? Au inakuwaje simba , yanga ,Azam wameleta makocha wa kigeni wakati Julio, Mkwasa, mexime ,Katwila wanaweza? Yaani ulitakiwa ulete takwimu maana wote washapewa nafasi ya kuonesha uwezo wao na sio kujiuliza hivi kweli Julio hamzidi uwezo Kaze? Leta takwimu.