Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

Sawa zipo na unatakiwa u renew Kila baada ya muda but ya nn ufanye YOTE hayo ??? acha mtu akupende yeye mwenyewe
 
ubishi tu ila ukweli wanaujua

kwa uzoefu tumewahi toka sehemu tukapewa dawa flani ya ngekewa

ebwana mmoja wetu akajipaka ile tunaingia kwenye bus kakaa mzee mmoja stori mbili tatu konda anapita achukue fedha mzee kasema kijana acha kamlipia nauli zaidi ya elfu 30

hapo ndo utaamini dawa zipo
 
Sio kweli mfano unyamwezini wanajua dawa sana hazina masharti mfano kuna dawa inaitwa Nshoma hii inatoa mauchawi mikosi mapepo mabaya hata wale wenye mambo ya magendo unaikoga na kuimwaga chini unachora + pande zote hakukamati asikari yoyote haina masharti Kuna dawa yaitwa Mwelekela maana yake kuelekea inatumika Kwa mapenzi na biashara unalonuia linaelekea haina masharti isipokuwa inakufa nguvu baada ya muda kuna mkirungu ulopigwa na radi hii dawa ya mapenzi hutumia sana wanawake kuchanjiwa wanaume wakimuona moto unafanya paaaa kama umepigwa radi hii mwanamke pia anatia kwenye lotion mafuta ajipaka Kuna kalilila pia yaani dawa ziko nyingi sanaa na hazina masharti yoyote Tabora Shinyanga wengi wajua miti dawa na sio waganga.
 
Kwan nn kimekukuta πŸ˜€πŸ™„πŸ™„
 
Tatizo kuna wakati bidii hazileti mafanikio, niamini mimi.
 
Kwan nn kimekukuta πŸ˜€πŸ™„πŸ™„
nimekutana na bango kubwa sana, la kisasa mno, linawaka taa kabisa, likielekeza kuna huduma ya kumrejesha mpenz aliepotea ndani ya siku3, na pembeni kuna ofisi ya maana sana.

vijana warembo na watanashati wamepanga foleni kusubiri zamu zao waingie kupata huduma ya mtaalamu nikastuka na mojakwamoja nikaandika uzi, halafu sasa ilikua usiku mkali πŸ’
 
Nisiwe mnafki nasali napokuwa na shida ila mwezi wa Ramadhan Qiyam Layl nasimama kama ibada sio shida zangu.swala za faradh nasali.
upo vizuri kama swala tano ipo dada.
Wengi tupo hivyo mpaka upate matatizo ndio unasimama usiku,swala za usiku zina malipo makubwa na hutatua matatizo...sema tunakuwa wavivu kuswali kila siku.
 
Nimesikitika sana kuona hakuna tapeli yeyote aliyejitokeza upande wa comments kumvuruga mtoa mada πŸ€’πŸ˜Ž
kwamba aweke namba nijae mzima mzima kichwa kichwa sio?πŸ’

napendwa sana na wanainchi wangu kwa dhati sana, bure bila gharama yoyote mpaka raha aise πŸ’
 
Dawa zipo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…