Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
aiseee 😳Sio kweli mfano unyamwezini wanajua dawa sana hazina masharti mfano kuna dawa inaitwa Nshoma hii inatoa mauchawi mikosi mapepo mabaya hata wale wenye mambo ya magendo unaikoga na kuimwaga chini unachora + pande zote hakukamati asikari yoyote haina masharti Kuna dawa yaitwa Mwelekela maana yake kuelekea inatumika Kwa mapenzi na biashara unalonuia linaelekea haina masharti isipokuwa inakufa nguvu baada ya muda kuna mkirungu ulopigwa na radi hii dawa ya mapenzi hutumia sana wanawake kuchanjiwa wanaume wakimuona moto unafanya paaaa kama umepigwa radi hii mwanamke pia anatia kwenye lotion mafuta ajipaka Kuna kalilila pia yaani dawa ziko nyingi sanaa na hazina masharti yoyote Tabora Shinyanga wengi wajua miti dawa na sio waganga.
si mchezo, mambo ni mazito hivi kumbe?🐒