Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

hivi unapootesha mche au mbegu ya mchicha huo mchicha hukua hatua kwa hatua hadi kufikia kuliwa so unataka kusema kuwa huo mchicha unapokuwa mkubwa tayar kwa kuliwa hubadilika kutoka kwenye asili yake
 
Ukifa hujui Kama unekufa una-transform na kuingia katika ulimwengu mwingine.

Uhakika ni kuwa Maisha baada ya kifo yapo Ila yapoje hakuna ajuaye.

Ni ishu ya ku-transformation
Na hii code ndo binadamu tumefichwa .Mtu akifa utaskia tutaonana tena. Mnajuaje kuwa tutaonana na waliokufa? Swali lingine utaskia wasalimie utalao wakuta, au msalimie flani uko uendako. Mtu anajuaje kuna mahali watu wako na walipo wanatambuana kama ilivyokua duniani? Kwamba leo unaweza mkuta nyerere , mkapa na magu wanapiga story tu? Nani ana uhakika na hili au mistari ya kidhibitisha hili.
 
kwa maana nyingine mwanasayansi naye hukosea
 
So masseto wewe unaamin nini katika hili binafsi yako maana kila mtu ana utashi
 
Mkuu mbna unachekesha hahaha!!!
Dwarn ni lini alithibitisha evolution ni kweli na ikakubaliwa?
Hata kwenye kitabu chake cha orgin of species hamna sehem ameelezea orgin ya species
bali how wana mantain consistent kitabu pekee cha evolution cha kwake.
Hata noble prize alipata kwenye upande wa botany sio evolution.
Turudi kwenye mada..
Kuna knowledge huwezi thibitshiwa imekuwaje bali through exprience unajua hilo?
 
Mi pia na amini hivyo kuwa kuna Mungu maana ukijiuliza tulitoka wapi? Kwanini tuko hapa? Tunaelelea wapi baada ya apa ? Utajua tu kuna sababu ya kuwepo kwa hizi zote
 
kitu kingine hapa cha kujiuliza kwa maana hyo mm nikifa nitaweza kuonana na mababu zangu wa mababu wale wa mwanzoni kabisa wa kwanza kwenye ukoo au nao huko walipo wameshakufaga kwenye hayo maisha kama yapo??
 
kwa maana nyingine mwanasayansi naye hukosea
Kwanini asikosee?

Wakati alichokidai hakipo katika misingi ya sayansi ni personal view tu

Pia kumbuka hoja ya msingi ni sayansi na sio mwanasayansi, kuna wanasayansi wana amini Mungu hali ya kuwa haikubaliki kwenye sayansi
 
hivi unapootesha mche au mbegu ya mchicha huo mchicha hukua hatua kwa hatua hadi kufikia kuliwa so unataka kusema kuwa huo mchicha unapokuwa mkubwa tayar kwa kuliwa hubadilika kutoka kwenye asili yake
Unajua biology hasa genetics?
Fafanua asili yake ipi?
Mimi kurithi vinasaba vya wazazi wangu mimi na wazazi wangu tunakuwa kitu kimoja?
Kuna single celled organism kama protozoa akidivide na kutengeneza kiumbe kingine
kwa kuwa kimerithi dna(genetic material ambayo inaamua kiumbe kiendelee kuwa protozoa)
utasema huyo ni kiumbe mmoja au wawili tofauti?
 
Unafahamu nini kuhusu natural selection kwenye evolution?
 
Kwanini asikosee?

Wakati alichokidai hakipo katika misingi ya sayansi ni personal view tu

Pia kumbuka hoja ya msingi ni sayansi na sio mwanasayansi, kuna wanasayansi wana amini Mungu hali ya kuwa haikubaliki kwenye sayansi
hapa napo umeweka sawa tujue kutofautisha SAYANSI NA MWANASAYANSI
 
ushasema single celled kwa mfano mkate ukiugawanya kati unaendelea kuwa mkate ule ule au unabadilika??
 
Unafahamu nini kuhusu natural selection kwenye evolution?
Alichokuwa anasema Dwarn kwenye natural selection,
ndio consistence yenyewe kumaintain species mfano ni
watu wenye haemophilia before reproductive age kufa ili species iendelee kusurvive
na wenye defects kutoweka nothing more nothing less.
 
Alichokuwa anasema Dwarn kwenye natural selection,
ndio consistence yenyewe kumaintain species mfano ni
watu wenye haemophilia kufa ili species iendelee kusurvive
na wenye defects kutoweka nothing more nothing less.

Kuna aina ngapi za evolution theory unazozijua?

Halafu uniambie kwanini natural selection sio evolution
 
Kuna nadhalia ; wanasayansi wamegundua kuweza kuirudishia uhai miili/watu waliokufa baada ya miaka kadhaa baadae kwa hivyo watu wanalipia kuifadhi miili ya wapendwa wao isiharibike kwa pesa nzuri tu... mkuu karibu duniani
 
Kuna aina ngapi za evolution theory unazozijua?

Halafu uniambie kwanini natural selection sio evolution
Mkuu sihitaji ni kwambie aina zilizopo hope unajua.
Pili evolution ya Dwarn haina mantiki kwa sababu hakuna sehemu ameelezea orgin of species.
 
Kuna nadhalia ; wanasayansi wamegundua kuweza kuirudishia uhai miili/watu waliokufa baada ya miaka kadhaa baadae kwa hivyo watu wanalipia kuifadhi miili ya wapendwa wao isiharibike kwa pesa nzuri tu... mkuu karibu duniani
Hakuna hicho kitu kwa sasa.
Ispokuwa wanaamini kwa mabadiliko makubwa ya technology miaka ya mbele uwezo huo utakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…