lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
- Thread starter
- #301
hivi unapootesha mche au mbegu ya mchicha huo mchicha hukua hatua kwa hatua hadi kufikia kuliwa so unataka kusema kuwa huo mchicha unapokuwa mkubwa tayar kwa kuliwa hubadilika kutoka kwenye asili yakeUmesema wewe ni mwili, mwili ni chakula unachokula protein, vitamin, carbohydrate wewe
ni hivyo vyakula?
Ni kipi kinakufanya uwe na uhakika ni yule yule huku umezaliwa na kilo moja sasa unakilo 60?
Nikipi kinakufanya uamiani mwili wako ndio wewe licha ya mabadiliko ya kila siku ndani ya mwili wako?