Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Mi pia na amini hivyo kuwa kuna Mungu maana ukijiuliza tulitoka wapi? Kwanini tuko hapa? Tunaelelea wapi baada ya apa ? Utajua tu kuna sababu ya kuwepo
Kwanini hataki kujitokeza hadharani tumshuhudie live live? Mimi nipo kati kati saivi nikiangukia kwa wanao amini Mungu hayupo sina hatia kabisa maana alisema tumtafute kwa bidii ila ndio hivyo sasa haonekani
 
zaidi ya 90% ya watz wanaamini kuwa kuna maisha baada ya kufa na Hawa wote ukifuatilia anaamin hivyo kiimani zaidi
Ndio matatizo ya imani, unamezeshwa kila kitu bila hata kuhoji.
 
Habari wanazengo,

Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.

Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Maisha baada ya kifo yapo iwapo tu kifo kipo, na hayapo kama kifo hakipo
 
Kama umesoma vitabu vya dini kuu mbili ni dictator kamili pengine kuwahi kutokea.
Lakini hili halifanyi asiwe sahihi ila kwa namna vitabu vya dini viliivyo m-proclaim ni ngumu
sana kumuelewa.
Dini na mambo ya Mungu ni hatari kuliko sumu, jamaa walio kaa na kuandaa hii silaha wajengewe minara kila nchi na wapewe tunzo za heshima.
 
Kifo ni usingizi usioamka,Zile ndoto unazootaga hayo ndo maisha mengine.Maana yake mwili unaoza ila roho yako inaendelea kuishi
 
Hata kama maisha baada ya kifo yapo sidhani kama tutajua. Jiulize kabla ya kuzaliwa ulikua wapi? Sasa hivi unakumbuka? Nadhani hata tukifa itakua hivyo hivyo. Kama kutakua na maisha basi hatutakumbuka hili life la sasa.
 
Habari wanazengo,

Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.

Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!

ukifa hakikisha unaeenda na namba zetu ili uturudishie mjeresho wa maswali yako maana muda mwingine vitendo vinafaa kuliko nadharia.
 
Kuwa theory na kukubaliwa na wanasayansi ni vitu viwili tofauti Scars hope unajua.
Nilichokipinga, ni wewe kusema wanasayansi walikubali theory zake kuhusu evolution.
Great thinker imekuwaje mkuu?
Mzee usiishie kusema haikubaliki bila kuweka uthibitisho wakati wote tunajua Darwin theory ni best theory miongoni mwa evolution theories

Huyo Darwin ambaye unasema hakubaliwi na sayansi, theories zake ndio zinafundishwa mashuleni huko mostly, sasa ni wanasayansi gani wangeruhusu somo ambalo linaivua nguo sayansi kufundishwa mashuleni?

Wapo wanasayansi waliokuja na theories zao ambazo zilikuwa rejected na wanasayansi na mpaka leo hukuti theories hizo zinafundishwa mashuleni

Mfano Alfred Wegner alikuja na theory ya kusema dunia ina move very slowly, theory yake ilikataliwa na wanasayansi kwasababu haikuwa na mashiko ya kisayansi na ilikua ina mapengo mengi kwenye uthibitisho

Na pengine ndio maana unaweza ikawa ni mara yako ya kwanza kuiskia habrai hii kutokana na kwamba ilishakataliwa, lakini natural selection imekataliwa na bado inafundishwa shuleni...Why?
 
Mbona mkuu unachekesha ivo..
Unapoamua kuwa rational basi kuwa rational kweli kweli.
Shuleni zina fundishwa theory sita za evolution je zote ni za kweli?
 
Uthibitisho upi unahitaji mkuu?
Uthibitisho wako kuwa Dwarn alikuwa sahihi ni kwa sababu theory yake inafundishwa darasani?
Darasani haifundishwi yake tu ni theory sita zinafundishwa.
 
na watu wengi hatupendi kujihoji hii kitu wenyewe ni wachache sana ambao anaweza TAFUTA sehemu tulivu akaachana na vyote alivyoaminishwa na kuanza kutafakar kwa upande wake hivi mimi nikifa naenda wapi au ndiyo inakuwa imeisha hiyo nikishafukiwa.

Watu wengi huwa hatupendi kuumiza kichwa kwenye maswala ambayo yanatumia akili nyingi sana matokeo yake hutafuta uchochoro mwepesi wa kupitia.
 
Mbona mkuu unachekesha ivo..
Unapoamua kuwa rational basi kuwa rational kweli kweli.
Shuleni zina fundishwa theory sita za evolution je zote ni za kweli?
Nilikuuliza mwanzo nitajie aina za evolution theory ambazo zinatambulika na sayansi, hukujibu uliishia kusema ile ya darwin haikubaliki

Niliuliza nikiwa najua kua zipo evolution theories zaidi ya moja, kwa hiyo hapa nataka unifamaishe kwamba kuwepo wa theories zaidi ya moja zinazoelezea evolution tafsiri yake hakuna ukweli?

Nakukumbusha pia kua bado hujanithibitishia evolution ya darwin jinsi ilivyokuwa rejected na wanasayansi
 
Dini na mambo ya Mungu ni hatari kuliko sumu, jamaa walio kaa na kuandaa hii silaha wajengewe minara kila nchi na wapewe tunzo za heshima.
dini imekaa trick sana mfano ukienda kwa mchungaj kumlalamikia kuwa mbona muujiza wenyewe haujauona atakwambia imani yako ni ndogo ndiyo maana haijatokea kuza kwanza imani yako ndiyo maana hata Yesu alisema kuwa ikiwa mtu ana imani hata kama punje ya haradali basi anaweza amrisha mti huu toka hapa
 
Nilikuuliza mwanzo nitajie aina za evolution theory ambazo zinatambulika na sayansi, hukujibu uliishia kusema ile ya darwin haikubaliki

Niliuliza nikiwa najua kua zipo evolution theories zaidi ya moja, kwa hiyo hapa nataka unifamaishe kwamba kuwepo wa theories zaidi ya moja zinazoelezea evolution tafsiri yake hakuna ukweli?

Nakukumbusha pia kua bado hujanithibitishia evolution ya darwin jinsi ilivyokuwa rejected na wanasayansi
Mkuu nikiangalia nauona uwezo wako mkubwa wa kutaman kujenga hoja.
Umesema kuwa wanasayansi walizikubali theory za Dwarn ila umeshindwa kuleta uthibitisho unataka
mimi wa kureject theory zake..
Iko hivi theory of evolution ili iweze kukubalika lazima itaje asili ya viumbe hai(orgin of species)
kwa Dwarn hicho kitu hakufanya haielezei evolution ilitokeaje.
Please muwe mnasoma na the other side ya hizi theory.
 
Kwanini wewe unayepinga usije na uthibitisho?

Hujaona hapo nimekuwekea mfano wa wanasayansi ambao walikuwa rejected na theories zao, kwanini usije na data ambazo zina support madai yako kama nilivyokuwekea kwenye huo mfano?

Mimi nakuambia Darwin theory inakubalika katika miko ya kisayansi na ndio maana imepewa vibali vyote itumike kama elimu kufundishia.

Niambie ni lini sayansi ilipinga theory fulani kwamba imepotosha na haijakidhi katikamiiko ya sayansi halafu baadaye tukaiona theory hiyo hiyo inafundishwa kama somo la sayansi?
 
Kwanini wewe unayepinga usije na uthibitisho?

Hujaona hapo nimekuwekea mfano wa wanasayansi ambao walikuwa rejected na theories zao, kwanini usije na data ambazo zina support madai yako?

Mimi nakuambia Darwin theory inakubalika katika miko ya kisayansi na ndio maana imepewa vibali vyote itumike kama elimu kufundishia.

Niambie ni lini sayansi ilipinga theory fulani kwamba imepotosha na haijakidhi katikamiiko ya sayansi halafu baadaye tukaiona theory hiyo hiyo inafundishwa kama somo la sayansi?
Nimekwambia hivi sababu ya theory yake kuwa rejected haikidhi
kwa sababu hamna sehemu ameeleza orgin of species kama ipo
itaje?
 
Back
Top Bottom