love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Hicho kitabu nimekutajia hata kabla ya kukiweka humuMajibu yako yapo kwenye pages nilizokutajia. Kasome
nimekuambia hakina hicho kitu ndg acha porojo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kitabu nimekutajia hata kabla ya kukiweka humuMajibu yako yapo kwenye pages nilizokutajia. Kasome
Nimekuwekea premises inayotumiwa kukubali hoja za kisayansi hapo juu, umeiona?Kati ya kukubaliwa na kutokukubaliwa kipi kinahitaji kuonyeshwa?
Uliposema wanasayansi waliikubali ulikuwa unawasemea wanasayansi wapi?
Sayansi haitaki poroja.
Mbona mswahili hivi unadhani unaweza kun-win kwa kutumia logic term?Nimekuwekea premises inayotumiwa kukubali hoja za kisayansi hapo juu, umeiona?
Nimekuwekea mifano ya watu ambao walikuwa rejected na theory zao kwasababu haziku qualify criteria za sayansi, umeiona?
Niambie wewe umeweka data gani kuthibitisha madai yako mpaka muda huu?
Wapi umenitajia hicho kitabu? NionesheHicho kitabu nimekutajia hata kabla ya kukiweka humu
nimekuambia hakina hicho kitu ndg acha porojo.
Hii sio ya kuhusu nani mshindi na nani kashindwa, hapa ni kipi sahihi kipi uwongoMbona mswahili hivi unadhani unaweza kun-win kwa kutumia logic term?
Nimekuambia Hakuna sehemu Dwarn ametaja orgin of species kasome shortcoming zake..
Mkuu mbna unachekesha hahaha!!!
Dwarn ni lini alithibitisha evolution ni kweli na ikakubaliwa?
Hata kwenye kitabu chake cha orgin of species hamna sehem ameelezea orgin ya species
bali how wana mantain consistent kitabu pekee cha evolution cha kwake.
Hata noble prize alipata kwenye upande wa botany sio evolution.
Turudi kwenye mada..
Kuna knowledge huwezi thibitshiwa imekuwaje bali through exprience unajua hilo?
angalia post no #305 iko hapo juuWapi umenitajia hicho kitabu? Nioneshe
Nimekuomba unipe maana yako ya neno origin of species unayoielewa wewe, pengine unasema haijataja kwasababu jibu halija match na tafsiri yako
Hakuna maisha baada ya kifo wewe ukifa ndiyo kwaheri, angalia hao viongozi wa dini na wa serikali Zambi wanaotenda hadi useme kuna maisha baada ya kufa? Mbona wao hawana hofu?Habari wanazengo,
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Tunaongelea evolution wewe usigeralize mambo..Hii sio ya kuhusu nani mshindi na nani kashindwa, hapa ni kipi sahihi kipi uwongo
Hujagusa hoja zangu hizi na saizi sikuruhusu kukimbia maswali kama ambavyo umefanya huko nyuma
Nimekuwekea premises inayotumiwa kukubali hoja za kisayansi hapo juu, umeiona?
Nimekuwekea mifano ya watu ambao walikuwa rejected na theory zao kwasababu haziku qualify criteria za sayansi, umeiona?
Niambie wewe umeweka data gani kuthibitisha madai yako mpaka muda huu?
Unaugonjwa wa kusahau si bure...Hii sio ya kuhusu nani mshindi na nani kashindwa, hapa ni kipi sahihi kipi uwongo
Hujagusa hoja zangu hizi na saizi sikuruhusu kukimbia maswali kama ambavyo umefanya huko nyuma
Nimekuwekea premises inayotumiwa kukubali hoja za kisayansi hapo juu, umeiona?
Nimekuwekea mifano ya watu ambao walikuwa rejected na theory zao kwasababu haziku qualify criteria za sayansi, umeiona?
Niambie wewe umeweka data gani kuthibitisha madai yako mpaka muda huu?
Ok nimeiona, nikweli ulitaja ila sikumakinikaangalia post no #305 iko hapo juu
Hakuna sehemu iliyoonyesha orgin of species.Ok nimeiona, nikweli ulitaja ila sikumakinika
Lakini bado hoja yako inakosa nguvu kwasababu nimekuwekea pages ambazo zimeelezea hivyo vitu unavyosema havipo, labda uniambie unatumia version ganio maana zipo nyingi
Unakataa hoja ambayo umeanzisha mwenyewe?Tunaongelea evolution wewe usigeralize mambo..
Nitajie chanzo cha viumbe hai kwa kumtumia Darwin acha porojo,
Nikuoneshe mara ngapi?Hakuna sehemu iliyoonyesha orgin of species.
Niambie wewe ulivyosoma umeelewa orgin ya species ni wapi kwa kutumia hicho kitabu?
Kwenye evolution ni theory gani iliyokubaliwa kati ya zile sita au unazojua wewe?Unakataa hoja ambayo umeanzisha mwenyewe?
Hujagusa hoja zangu hizi na saizi sikuruhusu kukimbia maswali kama ambavyo umefanya huko nyuma
Nimekuwekea premises inayotumiwa kukubali hoja za kisayansi hapo juu, umeiona?
Nimekuwekea mifano ya watu ambao walikuwa rejected na theory zao kwasababu haziku qualify criteria za sayansi, umeiona?
Niambie wewe umeweka data gani kuthibitisha madai yako mpaka muda huu?
Taja kwa maneno yako ulivyokielewa hicho kitabuNikuoneshe mara ngapi?
hata kwa akili ya kawaida tuHabari wanazengo,
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Nilikupa uwanja mwanzo unitajie aina za evolution, ulitaja? Kwanini hukutaja?Kwenye evolution ni theory gani iliyokubaliwa kati ya zile sita au unazojua wewe?
Swali ambalo nilikuuliza mimi na ukalikwepa unaniuligeuzia kwangu.Taja kwa maneno yako ulivyokielewa hicho kitabu
orgin of species ni nini?
Nimekuambia hajataj orgin zaidiSwali ambalo nilikuuliza mimi na ukalikwepa unaniuligeuzia kwangu.