Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ulishatambua wito wako/kipaji/kilichokuleta?Maisha ya Roho Yalikuwepo,yapo na yatakuwepo.
Dini ni tool ya kukusaidia kujitambua.
Haihusiki sana.
Roho ilitamani kuwa kama ulivyo sasa...
Ikaji-manifest kuwa kama ulivyo.
Lazima kila mtu ana Mission na Vision katika hali ya MWILI...
Tatizo hutokea kwamba MWANADAMU ANASAHAU KILICHOMLETA...
Wengine wanabahati ya kukumbuka mapema sana mpango wao wa uwepo wao hapa Duniani...na ndipo wanafanikiwa sana...
Wengi wanasahau especially kwa ajili ya Mazingira waliyozaliwa...
Mapokeo ya jamii inayowapokea tangu wamezaliwa...
Then wanapita Njia ngumu ktk kutafuta WITO...au kutambua KIPAJI....
EVENTUALLY Mwili unachakaa na unaiacha Roho inaenda Kwenye Maisha mengine iliyotamani kuishi...
EVOLUTION of desire of the Spirit.
Moto ni SUFFERING OF THE BAD DEEDS IN CONNECTION TO ATTACHED OTHER SOULS....
Maana yake ikiwa ulimuibia mtu...akakufahamu...ataku-hold Kwenye moyo wake na kukunenea mabaya...
Maneno mabaya au Mazuri yanatafsiriwa na Roho...
Roho inahisi machungu ya Roho iliyoshikamana nayo ikiwa inasemwa vibaya....
Nakadhalika.
Mtu akidhani UKIFA NDO IMETOKA...Then ni sawa na mtu aliyepotele Msitu wa Amazon...
Ulizaliwa lakini huku Enjoy Maisha kwa sababu hukujitambua....
Unapotea...but haijalishi...utapata tena fursa nyingine...
Hata kama ni miaka 400.
Kumbuka.
Miaka 1000 ya Mwanadamu ni sawa na siku moja ya Mungu....
Niliwahi kumuuliza mzee wa kanisa swali kama hili, nikamuuliza kwanini Mungu asiangushe sh. 50 hapa ili tu niamini...akasema wakati Wana wa Israel walipokuwa wanavuka Mungu alitokeza mlima wa moto kuwapa mwanga na bado waliasi. Nikamwambia me ndomana siamini hiyo story, haiwezekani moto mkubwa utokee hapa utusindikize all the way halafu niache kuamini... mwishowe nikaambiwa tu Mungu hajaribiwi na enzi za miujiza zimeisha imebaki Upendo na Imani tu.Kwanini hataki kujitokeza hadharani tumshuhudie live live? Mimi nipo kati kati saivi nikiangukia kwa wanao amini Mungu hayupo sina hatia kabisa maana alisema tumtafute kwa bidii ila ndio hivyo sasa haonekani
Watu tuko on autopilot (zombie mode) amka asubuhi, hangaika huko duniani doing jobs you dont like ili upate pesa Kununua things you don't really need ili ku impress people you don't really like, urudi nyumbani usiku, angalia tv, lala, repeat, Hadi ufe!!!! Na wanao waendeleze u zombie life!!na watu wengi hatupendi kujihoji hii kitu wenyewe ni wachache sana ambao anaweza TAFUTA sehemu tulivu akaachana na vyote alivyoaminishwa na kuanza kutafakar kwa upande wake hivi mimi nikifa naenda wapi au ndiyo inakuwa imeisha hiyo nikishafukiwa.
Watu wengi huwa hatupendi kuumiza kichwa kwenye maswala ambayo yanatumia akili nyingi sana matokeo yake hutafuta uchochoro mwepesi wa kupitia.
Mambo yanahusu miili yetu yanaweza kueleweka zaidi Kwa personal experience.Personal experience ndiyo chanzo cha majibu potofu, watu wa zamani asubuhi walivyokua wanaliona jua likichomoza mashariki na jioni kuzamia magharibi hawakuhitaji kufanya research wala kujisumbua na ndio maana wakaamini jua linatembea
Akiwa sabato masalia afanyeje?Ukiwa Rc sali nasadiki utajua
imebaki upendo na imani[emoji848][emoji848]Niliwahi kumuuliza mzee wa kanisa swali kama hili, nikamuuliza kwanini Mungu asiangushe sh. 50 hapa ili tu niamini...akasema wakati Wana wa Israel walipokuwa wanavuka Mungu alitokeza mlima wa moto kuwapa mwanga na bado waliasi. Nikamwambia me ndomana siamini hiyo story, haiwezekani moto mkubwa utokee hapa utusindikize all the way halafu niache kuamini... mwishowe nikaambiwa tu Mungu hajaribiwi na enzi za miujiza zimeisha imebaki Upendo na Imani tu.
kwenye bibilia kama sijakosea binadamu alipuliziwa pumzi ambayo ndiyo uhai wakati akiwa tayari ameshaumbwa kwa maana nyingine akiwa na organs zake tayariMmh, sidhani kama ni sahihi kwamba ORGANS ndo zinasababisha UHAI. Hapana, siyo sahihi. UHAI ndo husababisha ORGANS zifanye kazi. Uhai unakuwapo hata kabla ya organs.
kweli hii ni zombie lifeWatu tuko on autopilot (zombie mode) amka asubuhi, hangaika huko duniani doing jobs you dont like ili upate pesa Kununua things you don't really need ili ku impress people you don't really like, urudi nyumbani usiku, angalia tv, lala, repeat, Hadi ufe!!!! Na wanao waendeleze u zombie life!!
Umeshawahi kufaint? Au kupigwa dawa ya usingizi wakati wa operation. Kama umewahi, kuna chocote unachokumbuka kilikuwa kikiendelea? I guess hakuna. Ukifa umekufa. There is nothingkufa hakuepukiki mzungu na ujanja wake wote amechemka kuzuia kifo decomposition sawa na roho nayo ina decompose pia??
hii ya misukule ipo na tunaiona sasa hiyo ya Mungu hadi sasa ni imani ambayo inatawala zaidKuna maisha baada ya kufa
Sorry kwa kiswahili changu
Hivi jiulizeni wale ambao walikufa kwa kurogwa yaani kufanywa misukule
Wapo au wamezikwa?
Sasa kama mchawi ana uwezo wa kumroga mtu na kumtowa katika ulimwengu wa mwili na kumfanya mtu uyo kuwa msukule
Mungu ana shindwaje kumtowa mtu katika ulimwengu wa mwili na kumpeleka katika ulimwengu wa kiroho?
Akili kichwani
Najua kuna wengine watabisha kuwa akuna misukule au akunaga uchawi ndugu haya mambo yapo kabisa na Mungu yupo
hiyo uliyosema hapo ni kiimani zaidi I mean kidini ambayo ndiyo hadi sasa wengi wanaamini hivyoNdiyo;kuna maisha baada ya kifo,wala usidanganyike ndugu ,yaani swali la maishako baada ya kufa linajibiwa na maisha uliowahi kuishi tangu ulipozaliwa hadi dakik ulokufa ,tengeneza your best future do not loose any time
mke wangu hapo baadaye anakuja nioa ,yeye anakuwa mume na mimi nabadilika kuwa mke [emoji848][emoji848]Maisha baada ya kifo yapo, utarudi kwa namna nyingine, kama kwa sasa ni mwanaume unaweza rudi ukiwa mwanamke baada ya miaka kadhaa, na utakufa na utarudi tena, ipo namna ya kuyajua haya kama utaweka mambo ya dini pembeni, mpaka hapo ulipo umesharudi mara nyingi tu, ipo hivyo, huwezi jua hayo mpaka uwe na akili kubwa, ambaye ni mkeo leo anaweza kuwa mumeo kwenye maisha ya baadae ama mwanao ama adui yako ama mama yako ama baba yako ktk future life, iko hivi ukitaka kujua hili kwanza tafta namna ya kujua maisha yako yaliyopita kabla ya hii present life, ( ipo past na future kwako, sasa ipo hivi, unaweza irekebisha future yako kwanza kwa kurudi past kisha hapa kwenye present ukafanya mashahihisho, mwili, tafuta kitabu kinaitwa One soul, many bodies, uanzie hapo,
Kama huamini haya mambo achana nayo lakini ukweli ndio huo, zipo imani nyingi zimezungumzia hili, Hata YESU alisema atarudi lakini watu hamtaki kujiuliza atarudi vipi, lakini binafsi naamini amesharudi sana, na ataendelea kurudi na kurudi, basi nawe ni hivyo sababu binaadamu ni immortal.
Hayo mambo ya misukule ni imani tu not realyKuna maisha baada ya kufa
Sorry kwa kiswahili changu
Hivi jiulizeni wale ambao walikufa kwa kurogwa yaani kufanywa misukule
Wapo au wamezikwa?
Sasa kama mchawi ana uwezo wa kumroga mtu na kumtowa katika ulimwengu wa mwili na kumfanya mtu uyo kuwa msukule
Mungu ana shindwaje kumtowa mtu katika ulimwengu wa mwili na kumpeleka katika ulimwengu wa kiroho?
Akili kichwani
Najua kuna wengine watabisha kuwa akuna misukule au akunaga uchawi ndugu haya mambo yapo kabisa na Mungu yupo