Maisha ya Roho Yalikuwepo,yapo na yatakuwepo.Uko sahihi mkuu, maisha Baada ya kifo yapo sehemu mbili,kwa wenye Dhambi huenda kusubiri hukumu,kwa watakatifu huenda Peponi, yaani sehemu nzuri mno kuliko sehemu yoyote Duniani.
Japokuwa ni wanadamu tumejaa ujuaji wa kila aina,huo ndo ukweli wenyewe
Dini ni tool ya kukusaidia kujitambua.
Haihusiki sana.
Roho ilitamani kuwa kama ulivyo sasa...
Ikaji-manifest kuwa kama ulivyo.
Lazima kila mtu ana Mission na Vision katika hali ya MWILI...
Tatizo hutokea kwamba MWANADAMU ANASAHAU KILICHOMLETA...
Wengine wanabahati ya kukumbuka mapema sana mpango wao wa uwepo wao hapa Duniani...na ndipo wanafanikiwa sana...
Wengi wanasahau especially kwa ajili ya Mazingira waliyozaliwa...
Mapokeo ya jamii inayowapokea tangu wamezaliwa...
Then wanapita Njia ngumu ktk kutafuta WITO...au kutambua KIPAJI....
EVENTUALLY Mwili unachakaa na unaiacha Roho inaenda Kwenye Maisha mengine iliyotamani kuishi...
EVOLUTION of desire of the Spirit.
Moto ni SUFFERING OF THE BAD DEEDS IN CONNECTION TO ATTACHED OTHER SOULS....
Maana yake ikiwa ulimuibia mtu...akakufahamu...ataku-hold Kwenye moyo wake na kukunenea mabaya...
Maneno mabaya au Mazuri yanatafsiriwa na Roho...
Roho inahisi machungu ya Roho iliyoshikamana nayo ikiwa inasemwa vibaya....
Nakadhalika.
Mtu akidhani UKIFA NDO IMETOKA...Then ni sawa na mtu aliyepotele Msitu wa Amazon...
Ulizaliwa lakini huku Enjoy Maisha kwa sababu hukujitambua....
Unapotea...but haijalishi...utapata tena fursa nyingine...
Hata kama ni miaka 400.
Kumbuka.
Miaka 1000 ya Mwanadamu ni sawa na siku moja ya Mungu....