love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Taja sehemu ambayo Dwarn ameelezea orgin of species huwez sema evolution bila kutajaKwanini wewe unayepinga usije na uthibitisho?
Hujaona hapo nimekuwekea mfano wa wanasayansi ambao walikuwa rejected na theories zao, kwanini usije na data ambazo zina support madai yako kama nilivyokuwekea kwenye huo mfano?
Mimi nakuambia Darwin theory inakubalika katika miko ya kisayansi na ndio maana imepewa vibali vyote itumike kama elimu kufundishia.
Niambie ni lini sayansi ilipinga theory fulani kwamba imepotosha na haijakidhi katikamiiko ya sayansi halafu baadaye tukaiona theory hiyo hiyo inafundishwa kama somo la sayansi?
orgin of species.