Hii sio siri kwa wengi, hasa baadhi ya madhehebu ya dini tofauti na Uislam na Ukristo hili jambo wanalifahamu, hata hizi dini mbili pia limezungumziwaa japo kwa mafumbo, ndugu hii kitu kama kweli una nia ya kujua ukweli endelea kuutafuta hata nje ya mipaka ya fikra za kawaida na majibu utayapata,
Iko hivi, unaweza kukutana na mtu katili sana, ama mlevi, ama kahaba ama ana shida fulani kwenye mwili wake, wenzetu huwa wanaenda kwa wataalam wa elimu hiyo na kuomba kujua sababu ni nini, mfano kwanini wapo hivyo, na hapo ndipo tiba inapoanzia, wengi hurudishwa maisha yao ya nyuma hata millennia nyuma, na kujua chanzo cha tabia walizonazo sasa, na wengine huenda future na kujua baada ya kufa watakuja na mission gani baadae..
Binaadam anakufa mwili tu.