Mzee usiishie kusema haikubaliki bila kuweka uthibitisho wakati wote tunajua Darwin theory ni best theory miongoni mwa evolution theories
Huyo Darwin ambaye unasema hakubaliwi na sayansi, theories zake ndio zinafundishwa mashuleni huko mostly, sasa ni wanasayansi gani wangeruhusu somo ambalo linaivua nguo sayansi kufundishwa mashuleni?
Wapo wanasayansi waliokuja na theories zao ambazo zilikuwa rejected na wanasayansi na mpaka leo hukuti theories hizo zinafundishwa mashuleni
Mfano Alfred Wegner alikuja na theory ya kusema dunia ina move very slowly, theory yake ilikataliwa na wanasayansi kwasababu haikuwa na mashiko ya kisayansi na ilikua ina mapengo mengi kwenye uthibitisho
Na pengine ndio maana unaweza ikawa ni mara yako ya kwanza kuiskia habrai hii kutokana na kwamba ilishakataliwa, lakini natural selection imekataliwa na bado inafundishwa shuleni...Why?