The Republican
Senior Member
- Dec 5, 2021
- 174
- 307
Swala la maisha baada ya kifo ni nadharia yenye tafakuri zito sana. Nikiangalia The BigBang Theory, na theory of evolution inaonesha wazi kuwa binadamu hakutokea from nowhere (huu ni uongo wa wazi) ila Kuna mipango flani iliwezeshwa kufanya binadamu aweze kuishi. Vivyo hivyo baada ya kifo yapo maisha ambayo yamekwisha tengenezwa Ili viumbe vyote viishi tena katika maisha mengine haijalishi ni binadamu ama kiumbe chengine(hapa sitagusia Imani kwa maana Kuna nadharia nyingi zimeibuka baada ya hapo).
Kuhusu suala la kuadhibiwa ama kupewa Pepo kwangu Mimi sina ahadi yoyote wala makubaliano yoyote niliyowekeana na mtu hivyo niwe muwazi kuwa siamini katika adhabu au starehe zitolewazo huko kwani naona ni kwa kiasi flani kama yatatokea basi utakuwa ni UDIKTETA wa hatari na mbaya zaidi kuwahi kufanywa toka kuwepo kwa ulimwengu.