Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Swala la maisha baada ya kifo ni nadharia yenye tafakuri zito sana. Nikiangalia The BigBang Theory, na theory of evolution inaonesha wazi kuwa binadamu hakutokea from nowhere (huu ni uongo wa wazi) ila Kuna mipango flani iliwezeshwa kufanya binadamu aweze kuishi. Vivyo hivyo baada ya kifo yapo maisha ambayo yamekwisha tengenezwa Ili viumbe vyote viishi tena katika maisha mengine haijalishi ni binadamu ama kiumbe chengine(hapa sitagusia Imani kwa maana Kuna nadharia nyingi zimeibuka baada ya hapo).

Kuhusu suala la kuadhibiwa ama kupewa Pepo kwangu Mimi sina ahadi yoyote wala makubaliano yoyote niliyowekeana na mtu hivyo niwe muwazi kuwa siamini katika adhabu au starehe zitolewazo huko kwani naona ni kwa kiasi flani kama yatatokea basi utakuwa ni UDIKTETA wa hatari na mbaya zaidi kuwahi kufanywa toka kuwepo kwa ulimwengu.
 
hapo kwenye maisha mengine yaliyoandaliwa kwa kila kiumbe wadau wamegoma wamesema kuwa ni binadamu tu peke yao
 
Umeona sasa tatizo lako lilipo?

Nilichokijibu kwenye hoja ya mdau kimetokana na madai yake mwenyewe kua amri kumi "zimejitosheleza", sasa wewe kuniuliza uhalali wa jambo halafu ukaacha msingi wa hoja unakua unanifanya nitilie mashaka uelewa wako
Aliyesema kuhusu vilivyo nje ya amri kumi ni halali ni nani ? Kama siyo wewe ? Au yale maneno umesemewa ?

Sasa usikimbie maswali yanayo kuhusu. Jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Consciousness ni kitu ambacho kipo complicated na mpaka leo imekuwa ngumu kwa binadamu kuelewa na kufumbua fumbo hili.
Tuseme Consciousness ni some kind of energy kwamba it cannot be created or destroyed, but can only be changed from one form to another.

Mtu anazaliwa then kwa kutumia consciousness inachukua muda mpaka kuanza kujitambua na kutambua mazingira yanayomzunguka.
Hapo umepata hint gani?

So mtu huyu anaendelea kuishi na kukua mpaka siku anakufa na kila kitu kinakuwa dark, je baada ya hapo consciousness inakwenda wapi?
Kama haiwezi kutengenezwa wala kuangamizwa?

Maisha ya mtoto yanaanza pale mimba inapotungwa, je nini chanzo cha hayo maisha?
Obviously inaweza kuwa ni ile consciousness energy ambayo baada ya mtu wa kwanza kufa inakuwa transformed kwenda form nyingine ili iweze kuexist nje ya human mind then inakuwa transformed back to consciousness energy kwenda kwa huyu mtoto.

Mtoto anakuwa hakumbuki juu ya memory za mtu mwingine sababu consciousness haihusiani na memory bali ni kujitambua tu na kutambua mazingira yake.
Au unaweza kusema kutokana na transformation procedure inapelekea kupoteza kila kitu au baadhi ya vitu kusurvuve hii inaweza kuunganishwa na déjà vu ambapo unakuwa unahisi, unakumbuka vitu na matukio ambayo hayajawahi kutokea.

Na hii inaunganishwa na ile Idea ya kwamba kila kinachotokea kilishatokea, au multiverse theory.

Unaona kila kitu kipo connected hapo kwenye hiyo circle.

Hii sio sawa na ile Idea ya reincarnation ambayo yenyewe imebase na kutokana na maswala ya dini kwamba unakufa then unazaliwa kwenye mwili wa kiumbe kingine bila explanation yoyote.
Bali hii nimeiweka kwenye Science view.

Kiufupi hakuna mtu anayejua kinachotokea baada ya kufa tutakachoweza ni kuguess tu, na kawaida yahaya maswali ni kila unapouliza badala ya kupata majibu unapata na maswali mengi zaidi baada ya kujaribu kujibu.
So swali linakuja how consciousness came into existence at the first place?

Kila mwaka watu million 55 wanakufa na watu million 110 wanazaliwa, nadhani ni rahisi kutrack watu wanaozaliwa kuliko wanaokufa hivyo hizo namba sio precise by 100 percent lakini nadhani wakifanya utafiti mkubwa hizo namba zinaweza kuwa equal.

If they're equal then I might be right.
 
Kwahiyo kwasababu akili yako ya kwaida inakataa ndio unajiridhisha kwa kusema watu wengine hawafikirii vizuri?
Wewe kama nani?
Waulize wote wenye akili timamu na zilizo salimika,hapa nawawakilisha wote wenye akili zilizo salimika.

Ukweli ni kuwa hamfikirii vizuri na hili huwezi kulipinga kielimu wala kwa hoja.

Mimi kama Mubarrdi ambaye akili yangu imesalimika.
 
Mimi nimeuliza swali kulingana na hoja yako ambayo katika history ilishawahi kutolea na mwana philosopher Pascal wager
"Ni heri kuamini Mungu yupo ili ata kama ukifa na usipate nafasi ya kukutana nae fresh tu inakua imeisha iyo.
Kuliko usiamini Mungu yupo then ukafa ukaenda kumkuta yupo."

Logic ya pascal wager iko hapa

1. Kama hakuna Mungu, basi kuamini Mungu yupo hakutakuwa na madhara kwako
2. Kama Mungu yupo, basi kuamini Mungu yupo kutakupa faida ya wewe kuweza kuingia peponi

Nikirejea hoja yako

Kwamba wewe unaona sahihi kuamini Mungu hata kama ikitokea ukafa na usimkute haitakupunguzia chochote kuliko ukafanya kiburi na mwisho wa siku ukamkuta

Lakini vipi kama ukiambiwa na mtu mwingine tofauti na dini yako kwamba Mungu wa dini yake ndio wa ukweli na hivyo unapaswa kumuamini na kumuacha huyo Mungu wa uongo unayemuabudu maana hautapungukiwa kitu kuliko ukampuuza na ukaendelea kuamimi Mungu wako ambaye ni potofu na mwisho wa siku ukaja ukakutana na Mungu wa kweli ambaye ulimpuuza?

Swali langu liko hapa

Je utakubali kuhama dini yako na kuanza kumuabudu huyo Mungu wa dini hiyo nyingine ulitambulishwa na mtu huyo ili usalimike siku ya mwisho?

David Mitchell alishawahi kui flip hiyo hoja ya pascal wager akauliza vipi kama peponi ni sehemu ambayo wanaruhusiwa kuingia atheist peke yao

Hivi ndivyo itakavyokua

1. Kama hakuna Mungu, basi kutomuamini hakutaweza kukudhuru
2. Kama Mungu yupo, kutokumuamini kutakupa faida wewe kama atheist uweze kuingia peponi

Kwa hiyo ukitumia logic hiyo hiyo utajua tena kumbe haupaswi kuamini Mungu
Majibu yangu yatabaki pale pale...
Sababu kuu ya mimi kuwa na imani dhabiti ni kwamba...

Kuna ishira ambazo watu waaminio zinaambatana nasi.
Ishara hizo ndio zinanifanya niamini nipo sehemu sahihi.

Kama kwenye uislamu kutakua na Mengi mazuri zaidi ya ukristo wangu, basi nipo tayari kuslim.

Niendeleena utafiti wangu..
Kama kuna muislamu anajua ni kitabu gani kinaelezea nguzo za uislamu anitajie nisome.

Zipo kwenye Quran au ni nje ya Quran
 
Consciousness ni kitu ambacho kipo complicated na mpaka leo imekuwa ngumu kwa binadamu kuelewa na kufumbua fumbo hili.
Tuseme Consciousness ni some kind of energy kwamba it cannot be created or destroyed, but can only be changed from one form to another.

Mtu anazaliwa then kwa kutumia consciousness inachukua muda mpaka kuanza kujitambua na kutambua mazingira yanayomzunguka.
Hapo umepata hint gani?

So mtu huyu anaendelea kuishi na kukua mpaka siku anakufa na kila kitu kinakuwa dark, je baada ya hapo consciousness inakwenda wapi?
Kama haiwezi kutengenezwa wala kuangamizwa?

Maisha ya mtoto yanaanza pale mimba inapotungwa, je nini chanzo cha haya maisha?
Obviously inaweza kuwa ni ile consciousness energy ambayo baada ya mtu wa kwanza kufa inakuwa transformed kwenda form nyingine ili iweze kuexist nje ya human mind then inakuwa transformed back to consciousness energy kwenda kwa huyu mtoto.

Mtoto anakuwa hakumbuki juu ya memory za mtu mwingine sababu consciousness haihusiani na memory bali ni kujitambua tu na kutambua mazingira yake.
Au unaweza kusema kutokana na transformation procedure inapelekea kupoteza kila kitu au baadhi ya vitu kusurvuve hii inaweza kuunganishwa na déjà vu ambapo unakuwa unahisi, unakumbuka vitu na matukio ambayo hayajawahi kutokea.

Na hii inaunganishwa na ile Idea ya kwamba kila kinachotokea kilishatokea, au multiverse theory.

Unaona kila kitu kipo connected hapo kwenye hiyo circle.

Hii sio sawa na ile Idea ya reincarnation ambayo yenyewe imebase na kutokana na maswala ya dini kwamba unakufa then unazaliwa kwenye mwili wa kiumbe kingine bila explanation yoyote.
Bali hii nimeiweka kwenye Science view.

Kiufupi hakuna mtu anayejua kinachotokea baada ya kufa, na kawaida ya maswali haya ni kila unapouliza badala ya kupata majibu unapata na maswali mengi zaidi baada ya kujaribu kujibu.
So swali linakuja how or who or what created consciousness at the first place?

Kila mwaka watu million 55 wanakufa na watu million 110 wanazaliwa, nadhani ni rahisi kutrack watu wanaozaliwa kuliko wanaokufa hivyo hizo namba sio precise by 100 percent lakini nadhani wakifanya utafiti mkubwa hizo namba zinaweza kuwa equal.

If they're equal then I might be right.
point taken hakuna binadamu anayejua nini hasa kinachotokea
 
Kwanini zisiende na zetu ziende Kwani sisi binadamu tuna u-spesho gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni watoto wa Mungu.
Utofauti unakuja hapa... Roho ya binadamu iliumbwa kwa mfano wa Mungu,
Lakini wanyama na miti, Mungu alisema vitokee tu na vikatokea.
Na pia kuishi milele ni ahadi tuliopewa na Mungu, tofauti na wanyama hawakupewa ahadi yoyote.

Ni sawa na wewe baba umeamua kutoa urithi kwa watoto wako, je utampa umri hadi yule paka wako wa nyumbani na kumwambia wewe paka nakuachia nyumba moja ?
 
Kama zimejitosheleza basi vilivyo nje na hayo makatazo hapo vyote ni halali
Zimejitosheleza kama zilivyo katika kuzitaja kwa ufupi bila kuzielezea au kufafanua kwa maelezo marefu au vitu vya mfano wa hayo maneno, mfano wa Amri usiibe Kuna maneno yanaendana na hilo neno kama ukidhurumu tayari umeiba, ukitapeli Mali isiyoyako tayari umeiba, ukidokoa tayari umeiba, ukifisadi vitu visivyohalali yako tayari umeiba, ukinyanyanga Mali ya mjane au yatima tayari umeiba, ukifoji nyaraka na kuchukua Mali ya mtu mwingine tayari umeiba, ukichora racket ya wizi tayari umeiba kwa kutumia watu wengine, haya tuma kwenye namba hii wakati hela siyo zako Wala kuzitolea jasho wewe ni mwizi na vingine vingi na maelezo mengine hivyo unavyozitaja kwa ufupi bado zinamaelezo yake yanayofanya zijitosheleze.
 
Sasa kwanini mungu atuletee shetani ili atudanganye halafu tukishadanganyika mungu ambaye kamleta huyo shetani akatuchome sisi moto, kwa mfano wewe unamkataza binti yako mwanafunzi asiwe na mchumba na unamuonya kwamba akiwa na mchumba utamuadhibu kisha wewe mwenyewe baadae unamtafuta mwanaume unamwambia aende akamtongoze huyo binti halafu baadae ukija ukimuona binti yako na huyo mwanaume ni wachumba unamuadhibu binti yako , ni kwann haya mambo yamekaa hivi kiupandeupande?
Zingine ni chombeza tu Ili kurefusha akili ya mtu iliyolala ila mwanadamu kama mwanadamu tangu anaumbwa alipewa akili ila akajitoa fahamu mpaka akadanganywa kukataa maelekezo aliyopewa na Mungu na yeye akajaribu maelekezo mengine yaliyomfanya apate adhabu ya Mungu na kuambukiza vizazi vyote vinavyokuja duniani hivyo wale watatenda mema watakuwa wamejiponya na wale wakaidi kama babu yao na bibi yao Adam na Hawa wasipojitahidi kuyakwepa mabaya ndo hivyo adhabu ya mateso ya roho zao watazibeba maana hii mili iliingia najisi kupitia Adamu na Hawa na ndo maana kwa miili hii hatuwezi kumuona Mungu zaidi ya kujifunua kwa njia ya maandishi na maelezo ukiwa umelala, ila Sasa katika kuishi katika mwili pia katoa njia za kufata Ili tusiumie sana wakati tunapimwa matendo yetu baada ya kunajisi hii miili.
 
Labda ni kwa nini binadamu pekee?
Ndiye aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu na kupewa akili na uwezo wa kutawala vitu vingine kama Mungu anavyotawala viumbe vyote na mwanadamu kapewa uwezo wa kutawala hivyo viumbe vingine.
 
Consciousness ni kitu ambacho kipo complicated na mpaka leo imekuwa ngumu kwa binadamu kuelewa na kufumbua fumbo hili.
Tuseme Consciousness ni some kind of energy kwamba it cannot be created or destroyed, but can only be changed from one form to another.

Mtu anazaliwa then kwa kutumia consciousness inachukua muda mpaka kuanza kujitambua na kutambua mazingira yanayomzunguka.
Hapo umepata hint gani?

So mtu huyu anaendelea kuishi na kukua mpaka siku anakufa na kila kitu kinakuwa dark, je baada ya hapo consciousness inakwenda wapi?
Kama haiwezi kutengenezwa wala kuangamizwa?

Maisha ya mtoto yanaanza pale mimba inapotungwa, je nini chanzo cha hayo maisha?
Obviously inaweza kuwa ni ile consciousness energy ambayo baada ya mtu wa kwanza kufa inakuwa transformed kwenda form nyingine ili iweze kuexist nje ya human mind then inakuwa transformed back to consciousness energy kwenda kwa huyu mtoto.

Mtoto anakuwa hakumbuki juu ya memory za mtu mwingine sababu consciousness haihusiani na memory bali ni kujitambua tu na kutambua mazingira yake.
Au unaweza kusema kutokana na transformation procedure inapelekea kupoteza kila kitu au baadhi ya vitu kusurvuve hii inaweza kuunganishwa na déjà vu ambapo unakuwa unahisi, unakumbuka vitu na matukio ambayo hayajawahi kutokea.

Na hii inaunganishwa na ile Idea ya kwamba kila kinachotokea kilishatokea, au multiverse theory.

Unaona kila kitu kipo connected hapo kwenye hiyo circle.

Hii sio sawa na ile Idea ya reincarnation ambayo yenyewe imebase na kutokana na maswala ya dini kwamba unakufa then unazaliwa kwenye mwili wa kiumbe kingine bila explanation yoyote.
Bali hii nimeiweka kwenye Science view.

Kiufupi hakuna mtu anayejua kinachotokea baada ya kufa tutakachoweza ni kuguess tu, na kawaida yahaya maswali ni kila unapouliza badala ya kupata majibu unapata na maswali mengi zaidi baada ya kujaribu kujibu.
So swali linakuja how consciousness came into existence at the first place?

Kila mwaka watu million 55 wanakufa na watu million 110 wanazaliwa, nadhani ni rahisi kutrack watu wanaozaliwa kuliko wanaokufa hivyo hizo namba sio precise by 100 percent lakini nadhani wakifanya utafiti mkubwa hizo namba zinaweza kuwa equal.

If they're equal then I might be right.
Wale wanaoshuhudia waovu wakikata roho wanasema wanapata shida sana tofauti na watu wema Sasa hapo huoni wanakuwa wanaogopa maisha yao mapya yatavyokuwa yanatisha?
 
Halafu unakuta unayaandika haya na hujui ROHO ni nini ? Aisee kuna watu visirani sifuri kweli.
Hakuna roho kwa binadamu. Mfumo wa ufahamu ndo unatafasiriwa kama roho.Katika mwili wa binadamu Biologically mtu akifa na mfumo wa fahamu(brain)Umekufa.
 
kwa maana nyingine mwanasayansi kama mwanasayansi asiyechakachuliwa hana dini maana kuna vitu vingi sana vya kiimani zaidi tofauti na yeye atataka hadi proof[emoji3477][emoji848][emoji848]
Mimi ni mwanasayansi ila ni mkristo. Ninapokuwa kwenye sayansi ninareason kisayansi.Ninapokuwa kikristo ninareason kiimani ila sina evidences.
 
Back
Top Bottom