Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Zingine ni chombeza tu Ili kurefusha akili ya mtu iliyolala ila mwanadamu kama mwanadamu tangu anaumbwa alipewa akili ila akajitoa fahamu mpaka akadanganywa kukataa maelekezo aliyopewa na Mungu na yeye akajaribu maelekezo mengine yaliyomfanya apate adhabu ya Mungu na kuambukiza vizazi vyote vinavyokuja duniani hivyo wale watatenda mema watakuwa wamejiponya na wale wakaidi kama babu yao na bibi yao Adam na Hawa wasipojitahidi kuyakwepa mabaya ndo hivyo adhabu ya mateso ya roho zao watazibeba maana hii mili iliingia najisi kupitia Adamu na Hawa na ndo maana kwa miili hii hatuwezi kumuona Mungu zaidi ya kujifunua kwa njia ya maandishi na maelezo ukiwa umelala, ila Sasa katika kuishi katika mwili pia katoa njia za kufata Ili tusiumie sana wakati tunapimwa matendo yetu baada ya kunajisi hii miili.
yani kiufupi ukisumamrize utaona kwamba mungu anatutafutia tu sababu ili akatuchome moto yani anatuwekea mitego ya kila aina ili watu wamkosee ndio akapate watu wa kuwatesa milele, na kwa kosa gani kubwa ambalo tunaweza fanya wanadamu hadi mungu akasirike kiasi kwamba akatuchome moto milele?
Pia sisi aliyetuumba si ni yeye mwenyewe mana yake kila kitu tunachofanya yeye ndio alivyotuumba tuwe hivyo sasa kwanin atulaumu sisi wakat ni kazi yake yeye mwenyewe, who is responsible hapo?
 
Ndo unavyojiliwaza hivyo au siyo....Lakini unasahau kabisa kwamba kabla ya hapo wewe HUKUWEPO na HUKUJULIKANA KABISA KAMA UTAKUWEPO ghafla ulishtukia tu UPO na UKAWEPO BILA RIDHAA YAKO,hivi huyo aliyekufanya UWEPO akakutengenezea system za kustaajabisha na zinazoshangaza kama hzo na tena kama ulivyosema zinafanya kazi kwa kushirikiana bila kukosea,na baadhi huwa zinafanya kazi bila ridhaa yako ikiwemo MOYO,yan kazi yote hiyo kubwa aliyoifanya awe amekuleta tu duniani hapa kuja kucheza cheza huku muda unaenda kisha ufe tu na ipitee kizembe zembe iwe imeisha eti asikurudishe tena? Kirahisi rahisi tu....Umeishi muda flan hv kisha huyo Mtengenezaji hizo SYSTEMS akaamua kuzi SHOOT DOWN(kufa) bila wewe kupenda,Hivi HUYO kwa ujuzi mkubwa wa kushangaza kama hivyo ashindwe kweli KUKUWASHA (kuhuisha)ILI UWAKE TENA KWA MFUMO MWINGINE bila ridhaa yako?

Kumbuka wewe ulikuwa HAUPO KABISA na hakuna mtu alikuwa anakutaja,umekuja Duniani kupitia STAREHE walioifanya watu wawili kitandani kati ya mwanamke na mwanaume ambapo wewe ndo unawaita baba mwingine unamwita mama.
Starehe hiyo waliifanya lakin pia walikuwa hawajapanga kabisa na hawajui ndo unakuja wewe...NA HUENDA HATA SIKU ILE MIMBA YAKO INATUNGWA KUNA MMOJA KATI YAO HAKUZIPOKEA VIZURI TAARIFA YA MIMBA YA WEWE KUTUNGWA LKN PIA HUENDA WALILAUMIANA KWANINI WEWE UMETUNGWA ILA KWA VILE SIO RIDHAA YAO NAO WAKAAMUA TU KUPOTEZEA MAANA HAKUNA JINSI, MAMA AKAKUBALI KULEA IMBA YAKO KWA SHIDA AFU NDO UKAJA WEWE LEO AMBAYE SASA HV UPO hapa JF na simu yako UNASEMA HAKUNA KUFA NA HUYO MUNGU HAYUPOOO.umekuja huku ukiwa dhaifu wa mwili na akili unajinyea,unakojoa popote tu unatoka udenda muda wote,lakini BILA RIDHAA YAKO tena unakuwa mtu mzima unafanya mabalaa ya kuyafanya,unaiba,unazini, unatukana watu,unadhurumu KWA RIDHAA YAKO mwisho YULE YULE alikuekuleta Anakuzima tena BILA RIDHAA YAKO,anakupeleka kulee wasiporudi kisha akwambie yote uliyowahi kuyafanya kuanzia unabalekhe/vunja ungo mpk siku ile UNAZIMWA na kisha akutie motoni kwa mabaya au akutie peponi kwa mazuri uliyofanya.

Tuache kujitoa akili ndugu zangu,huyo aliyekuleta hajakuleta tu hivihivi amekuleta kwa mpango maalum na uje utii sheria zake na ufuate kile alichokuamuru ufanye kwa kutumia mfumo sahihi ambao ni dini SAHIHI,dini ya mitume wote walioletwa na Mungu muumbaji.Hujaletwa kuja kupoteza muda na hapa duniani sio mahali pa kuishi alipopanga Mungu,Dunia ni sehemu ya kufanya Utii ili atkaefanya vzr huo utii basi kuna mahali Mungu ndo ameandaa maisha yasiyoisha.
Hebu jiulize kitu kimoja,kama hii dunia ni sehemu ya kuishi kwanini watu wanakufa,kwanini watu wanakufa katika umri wa uchanga,utoto,ujana na utu uzima?
Kama dunia ni kutafuta maisha mbona ukiyapatia hayo maisha pia unakufa?Kwanini ufe?

Kikubwa unachotakiwa kuzingatia ni kwamba YUPO ALIYEKUANZISHA NA KUKULETA DUNIANI KWA MUDA bila ridhaa yako ILI UJE UFANYE MITIHANI (MAJARIBU)kwa ridhaa yako mwenyewe huku akiwa amekupa nyenzo za wewe kufaulu hiyo mitihani,amekupa Muongozo wa vitabu (Zaburi,Torati,Injili na QURAN),pia akakupa Akili,kusikia,kuona,kunusa,kuonja nk,anakupa muda flani,baada ya muda huo flan HUYO HUYO ATAKUFISHA bila ridhaa yako tena NA ATAKURUDISHA TENA KTK UHAI WA AINA NYINGINE bila ridhaa yako pia...kama anavyofanya kwenye mbegu ya mimea yote Duniani...kisha sasa ndo sote tutakutana huko kwenye SIKU YA HUKUMU,siku ambayo kila mtu atabeba alichokipanda kwenye uhai wa Duniani.
Wewe endelea kuuchezea tu muda lakini ipo siku na wewe utapangiwa ratiba na watu kwamba wakakuzike wapi na lini wakati huo wewe upo kwingine kabisa unapambana na hali yako huko.
Hzi pumzi zisituhadae ndg zangu,hakuna watu wanaoendelea kujilaumu hivi sasa kama wale marehemu wetu tuliowazika,Mtu mwema kwa mazuri anayoyaona huko saizi anajilaumu kwanini amefanya mema machache,na mtu mbaya ndo analia na kusaga meno kumuomba Mungu awarudishe kidoogo warudi Duniani kuja kusawazisha yale yote waliyokosea jambo ambalo abadani haliwezekani.
Umenena vyema.
 
Hapa ni blah blah blah blahs tu kila mtu anaandika kile anajua na kwa sababu pumzi anayo ila huwezi kutana na jibu la maana hapa na hilo jibu duniani halijakuwepo na halitokuwepo jibu lipo kwa wale waliokwisha lala mauti so as long as bado unapumua muhimu amini kile unaamin subiri siku na wewe ufe u-taste maisha nje ya hayo uliyopo.

Halafu ni ajabu sana,unaichosha akili yako kwa vitu kama hivi ambavyo obviously huwezi kupata jibu hata kutoka kwa mtu wa aina gani huo muda wa kuwaza haya ungefanya mambo mengine ingekuwa rafiki sana kwa akili yako.
 
asili ya binadamu ni kudadisi na kutaka kujua
 
yani kiufupi ukisumamrize utaona kwamba mungu anatutafutia tu sababu ili akatuchome moto yani anatuwekea mitego ya kila aina ili watu wamkosee ndio akapate watu wa kuwatesa milele, na kwa kosa gani kubwa ambalo tunaweza fanya wanadamu hadi mungu akasirike kiasi kwamba akatuchome moto milele?
Pia sisi aliyetuumba si ni yeye mwenyewe mana yake kila kitu tunachofanya yeye ndio alivyotuumba tuwe hivyo sasa kwanin atulaumu sisi wakat ni kazi yake yeye mwenyewe, who is responsible hapo?
kama alishindwa kumsamehe Adam na Hawa atashindwaje hili
 
kama alishindwa kumsamehe Adam na Hawa atashindwaje hili
Mbona sisi anataka tusamehe wakat yeye kusamehe hawezi? Eti mtu tu kala tunda kwenye mti ndio imekua ishu kubwa yani kakasirika hatari
 
asili ya binadamu ni kudadisi na kutaka kujua
So tangu umetaka kujua baada ya kifo utaenda wapi ni kwa percent ngapi umejua ukweli wa hilo?

Au umepata wapi taarifa kuna siku atarudi mtu maiti aseme huko kuna moja mbili tatu?unapoteza muda wako kwa mambo kama haya nimekwambia hata babu yako mzaa babu wa babu yako wakati anakufa hakuwa akijua na hatatokea wa kujua hili ktk dunia hii focus kwenye mambo yenye maana acha kuichosha akili yako.
 
sawa usemavyo lakini kwa maana hiyo wewe hujali wala nini na hujawahi jiuliza kuhusu hii kitu itavyokuwa kwako poa tu
 
sawa usemavyo lakini kwa maana hiyo wewe hujali wala nini na hujawahi jiuliza kuhusu hii kitu itavyokuwa kwako poa tu
Kujali najali ila kujiuliza hapana maana asili ya swali mwenzake ni jibu,mf;leo nikiwa na swali la kwamba kwanini kuna wakati network ktk simu zetu inakata au inakuwa legevu?nitaenda kwa wataalam wa IT watanipa jibu niache kuteseka na swali hilo but leo mimi nijiulize kuna nini baada ya kifo jibu lake nitalitolea wapi na umri huu 30+ kweli si nitachakaa?

Mimi ni mtu wa Imani na nazingatia nilichofundishwa kuhusu maisha haya ya duniani na ya baada ya hapa but siyafikirii sana ya ng'ambo kutokana na hata yasipokuwepo sitakuwa na cha kupoteza.
 
Kujali najali ila kujiuliza hapana maana asili ya swali mwenzake ni jibu,mf;leo nikiwa na swali la kwamba kwanini kuna wakati network ktk simu zetu inakata au inakuwa legevu?nitaenda kwa wataalam wa IT watanipa jibu niache kuteseka na swali hilo but leo mimi nijiulize kuna nini baada ya kifo na umri huu 30+ kweli si nitachakaa?

Mimi ni mtu wa Imani na nazingatia nilichofundishwa kuhusu maisha haya ya duniani na ya baada ya hapa but siyafikirii sana ya ng'ambo kutokana na hata yasipokuwepo sitakuwa na cha kupoteza.
nimekupata ila ndiyo asili yetu ilivyo tukiona kitu hakina majibu na hatuwezi pata majibu basi hutafuta namna ya kutojishughulisha nacho utasikia achana nacho hicho kitakupasua kichwa bure
 
Maisha baada ya kifo yapo na huwezi kuyaepuka ni kmaa kifo kilivyo hata usipo amini kama kifo kipo bado tu utakufa na hakuna wa kumzuia malaika wa mauti kuchukua roho ya mwanadamu na hapitishi hata sekunde moja pindi pale mda wa mwanadamu unapoisha.! Kifo kipo na maisha baada ya kifo yapo hapo kaburin .kama ni mtu mwema bustani yako ya peponi inaanzia hapo kaburini na kama ni muovu pia kisanga kinakukuta hapo hapo kaburini.! Sio kama ni vitisho vya masheikh bali ndio uhalisia ulivyo.no doubts kwa hili.! Na mtu kabla roho yake haijatoka anaonyeshwa sehemu anayofikia kama ni moton au peponi.! Kuna watu watakuja kupinga hii comment il kupinga kwao hakuondoi ukweli uliopo

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Habari wanazengo,

Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.

Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Asikudanganye mtu, maisha baada kifo yatakuwa sawa kabisa na maisha yalivyokuwa kabla ya kuzaliwa.
 
Mbona sisi anataka tusamehe wakat yeye kusamehe hawezi? Eti mtu tu kala tunda kwenye mti ndio imekua ishu kubwa yani kakasirika hatari
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Hatari Mkuu, japo mi ni muumini Wa Mungu. Ila reason yake haikuwa na justification. Yaani Siku hiyo (kama itakuwepo) akituacha tu argue na kujitetea sijui kama Kuna atakaechomwa.
 
Asikudanganye mtu, maisha baada kifo yatakuwa sawa kabisa na maisha yalivyokuwa kabla ya kuzaliwa.
kwa maana nyingine hamna maisha hapo maana kabla ya kuzaliwa sikuwepo[emoji848][emoji848]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Hatari Mkuu, japo mi ni muumini Wa Mungu. Ila reason yake haikuwa na justification. Yaani Siku hiyo (kama itakuwepo) akituacha tu argue na kujitetea sijui kama Kuna atakaechomwa.
[emoji23][emoji23]hautopewa hiyo nafasi
 
Mimi ni mwanasayansi ila ni mkristo. Ninapokuwa kwenye sayansi ninareason kisayansi.Ninapokuwa kikristo ninareason kiimani ila sina evidences.
Sasa utakua upande upi endapo dini itakinzana na sayansi, kwa mfano ishu ya flat earth na jua kuzunguka dunia
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Hatari Mkuu, japo mi ni muumini Wa Mungu. Ila reason yake haikuwa na justification. Yaani Siku hiyo (kama itakuwepo) akituacha tu argue na kujitetea sijui kama Kuna atakaechomwa.
Na tusipopewa hiyo nafasi itakuwa ni udikteta wa hali ya juu.
 
na jee hiki tunachoamini leo ndicho walichokuwa wana amini wazee wetu mababu zetu asili yetu kabla ya kuja wakoloni barani Africa??
Futa huu ujinga kwenye kichwa chako.
Hata kuabudu mizimu ni kitu tuliletewa, huna historia yoyote unayojua, tulia tu.
 
Back
Top Bottom