Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Hahaha pole mwaya. Utajitambua soon, look forward to the lights at the end of the tunnel.

nimeanza mdogo mdogo, really taking my time. Ila ntachange mind soon, nataka nimfuate Jerrymsigwa huko mbinguni alipo

Utaweza kuja Sumbawanga King'ast au unajipa moyo tu? Karibu sana niko kijiji cha Msumkumilo, tarafa ya Isunta, mji Namanyele, wilaya Nkasi, mkoa Rukwa!

Hakuna mwana Jf karibu hapa?
Cc: Katavi
 
Last edited by a moderator:
Watu wanajua kila kitu, ajabu Ni kwamba katika maisha ya kawaida hatukutani nao, mkwara ndio usiseme, my perception katika Hili Ni kwamba wenye access ya internet muda wote majority of them Ni wafanyakazi WA maofisini, hivyo kuleta mantiki kwamba wengi wao wanalevel flani ya elimu ili kuweza kupata hizo ajira, bila kusahau wanafunzi wengi wenye laptops kwaajili ya matumizi ya shule kwa homeworks,
 
hivi kama kweli mtu ana degree yake na ameamua kujitaja we unakereka nini? mbona hampendi maendeleo ya wenzenu? mxiiiiiiiuuuuuu!
 
hivi kama kweli mtu ana degree yake na ameamua kujitaja we unakereka nini? mbona hampendi maendeleo ya wenzenu? mxiiiiiiiuuuuuu!

Mbona una kisirani hivyo we leo? Nini tatizo?

Sijui utanifyonza....sijui utanitukana....hmmmm ngoja nisubiri
 
Wapi profesa Ibrahim Likowa aka mpiga msuli seneta01 alikunyosha!

Haahahaha, alipotelea wapi huyu le profesel. Walimvua "nguo" kend e zikabaki wazi. Honekani kabisa.
 

Tehehehh, yani we ndio umesiriba kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Viazi wengi sana humu hata post zao tu unajua hapa shule hamna!!
Wengi vyuo vya kata ila waangalie tu hizo post zao teh teh teh!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Itusaidie nini hiyo mastaz yako sisi?

Acha wivu mkuu kasema Elimu yake,,,we kama umeishia certificate si wewe!
Mbona wenye diploma hukusema itusaidie nn ila umeona masters mboyoyo


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 

Ok, minina diploma na nipo jf kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…