kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mwalimu analipwa mshahara kidogo ila anaruhisiwa kukopa, kopa kisha fanya biashara zako pembeni, hakikisha zina usimamizi mzuri. Ukiwa na nidhamu ya pesa utatoboa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeza kutuambia nini maana ya neno tajiri kwa mtazamo wakoKwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
hahahaha au sioNjia ipo moja tu !!! Boss akijipindua .. Pinduka nae... Mzigo wa mamilions cheza mdogo wetu... Jela nyumba.. Kaburi Tuta...
Dogo wenzie tunakimbiza 40+ na ndoto hiyo yako bado tunayo, fanya kazi na matajiri jifunze kutoka kwao wanafanye kazi zao, wanakusanya vipi mali, wanalipaje wafanyakazi na suppliers wao, ubunifu wao katika kazi zao ukoje na mwisho zaidi ni ile shuleni tulikuwa tunaita managers are getting things done by others.
Unawezaje kutumia akili za watu wengine kupiga noti na mwisho jifunze kutoamini hao speakers wanatia moyo na kufanya maisha mepesi wakati ni ngouma ngumu.
ushauri huu wapa. jifunze kwa tajiri yako angalau kwa miaka 10 ujue nje na ndani ya "ushauri huu" Fanya kazi kwa bidii jitume na uwe timamu kisha unaweza kujiajiri ukiwa na miaka 30 au 40 na ukatoboa. ukiwa na haraka ya kutoboa utantumia Sana mtaji wako mdogo kukosea mwisho utakata tamaa utarudi "job" kusubiri uzee pia sio mbaya ni maamuzi mazuri. mwisho wa siku mwanaume unahitaji kuwa na familia uhihudumie vyema na uwe na kipato mpaka uzeeni na ukafurahia maisha.Dogo wenzie tunakimbiza 40+ na ndoto hiyo yako bado tunayo, fanya kazi na matajiri jifunze kutoka kwao wanafanye kazi zao, wanakusanya vipi mali, wanalipaje wafanyakazi na suppliers wao, ubunifu wao katika kazi zao ukoje na mwisho zaidi ni ile shuleni tulikuwa tunaita managers are getting things done by others.
Unawezaje kutumia akili za watu wengine kupiga noti na mwisho jifunze kutoamini hao speakers wanatia moyo na kufanya maisha mepesi wakati ni ngouma ngumu.
Utajiri na umasikini vipo kwenye fikra mdogoetu. Kufanya kazi za kuajiriwa sio mbaya kama unafanya kwa malengo na unajitambua, unaijua size ya future yako. Sikushauri uifanye kwa mda mrefu. Ifanye mpaka pale ambapo malengo yako ya kusonga mbele yatakuwa yametimia.Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Utajiri na umasikini vipo kwenye fikra mdogoetu. Kufanya kazi za kuajiriwa sio mbaya kama unafanya kwa malengo na unajitambua, unaijua size ya future yako. Sikushauri uifanye kwa mda mrefu. Ifanye mpaka pale ambapo malengo yako ya kusonga mbele yatakuwa yametimiaKwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Asante Kwa swali lako zuri kuhusiana na mtazamo huo swali na usemi huo upo sahihi kabisa Kwa maana mtu aliye ajiriwa anakuwa ameuza vitu vikuu viwili Kwa muajiri wake kitu Cha kwanza ni ujuzi wake au maarifa yake kitu Cha pili ni muda hivyo vitu viwili nivya muhimu sana katika maendeleo ya mtu yeyote yule yaan Muda pamoja na ujuzi wako vinakua chini ya muajiri wako na wewe kupata muda wa kufanya maendeleo binafsi inakua ni vigumu sana kwa sababu muda mwingi utautumia kufanya kazi za bosi wako na wewe utakua na muda mchache sana wa kufanya maendeleo binafsi kwahiyo nivigumu kuwa tajiri katika kazi za kuajiriwaKwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Yote ulitoyasikiaaaa... Hili libebe! Kuwa tajiri kwa njia halali ni ngumu sanaNjia ipo moja tu !!! Boss akijipindua .. Pinduka nae... Mzigo wa mamilions cheza mdogo wetu... Jela nyumba.. Kaburi Tuta...
Kabla ya kuufikiria utajiri, ni muhimu kwanza wewe mwenyewe utambue maana ya utajiri, kwa mtazamo wako. Baada ya hapo ndio uchambue hayo mengine.Kwema wakuu?