Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

 
Jamaa kashafika mbali sana hata akirudi nyumba kwa miaka kumi bado atakua wa kwanza.Anajua kutumia fursa yoyote inayopita mbele yake.
Tatizo hapa ninaloliona ni nani aanze kumfuata mwenzake wayamalize..
Media huwa zinajiona ziko juu ya kila kitu..wakisahau kwamba media zinaongozwa na watu wenye mapungufu yao kibinadamu.
Nakumbuka Wasafi walipishana na EATV na RADIO yule kima Dula alipoandaa zile Music awards ambazo wasafi walizitosa....
From there the hate started.
Wasichoelewa ni kwamba Diamond hashuki leo wala kesho.
Wamfuate tu wa appologise yaishe..
Ila mawingu sijawahi jua chanzo cha hate.
 
Vipi kuhusu Diamond karanga na Tube perfume ,bado zinauzika tena kama zamani ?
 
EATV radio ni radio makini sio kwa ajili ya kumpromote kilaza kama huyu wenu .
 
Mnhh...

Mkuu unajua wewe ni Expert wa muda mrefu sana hapa JF..
Umeandika mwenyewe au umeandikiwa!??

Nijibu hilo kwanza then unipe FACTS Diamond kashuka vipi kimuziki..

Msanii ambaye tangu mwaka uanze hakuna aliyemtoa ktk trend huko U tube.
Nimeandika Mwenyewe mkuu,ndio maana nimemsema na kiba usije ukaona mimi ni Team Kiba,sina team kabisa mie ni shabiki wa mziki mzuri,msanii yeyote akitoa mziki mzuri nitamsupport ila hao wasanii wenu wanatoa maboko sana miaka hii,domo wa number1 na kiba wa Rkelly sio hawa wa sasa....Jamaa yenu amebakiwa na fedha za utube,ringtones na matangazo tu,shows ni za kuforce tu wala sio fan demand.

Ndio maana nikakwambia kwa sasa KIBA na DOMO wote wanabebwa na mashabiki maandazi ,mambo ya mashindano ,nani ana views ningi Utube,nani anasemwa sana instagram au facebook badala ya kushindana nani ana tzo kora,nani ana tuzo BET,Nani ana tuzo MTV,nani katoa wimbo wa TAIFA etc
 
Wakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi alikiba ni kweli amemuacha mkewe?
Mbona mapema hivyo kuna Siri gani?
 
Dah yaani ww jamaa umekuwa na akili Kama zangu niliwaza kucomment Kama hivi ukaniwahi.
Wenzetu wa Nigeria na South Africa wanavuma wengi sana kimataifa na wengine ni undergrounds tu lakini wanasumbua Africa nzima.
 
47% ya Mtaji wa Ngapi? Maana Swahili Media Le Mutuz ana 0.00002%,Kuanzisha Redio kuna Member ashawahi kuweka humu atleast 100m inahitajika.(47m haiwezi kumshinda DOMO).
 
Mindset yako imekaa kiloko sana aisee...
 
47% ya Mtaji wa Ngapi? Maana Swahili Media Le Mutuz ana 0.00002%,Kuanzisha Redio kuna Member ashawahi kuweka humu atleast 100m inahitajika.(47m haiwezi kumshinda DOMO).
Kwamba kuanzisha redio inahitajika milioni 100?huwezi kuwa serious Mkuu!Swahili Media yenyewe iliwashinda ndio maana sasa hivi imekua dizzim!

Mtaji alioweka Diamond sijui ni kiasi gani lakini brand yake tu ya wasafi inambeba,sidhani kama alikua fala brand yake itumike bila kuwa na percentage ya uhakika,hivyo 47% siyo ndogo bila kujali alichoweka, mwisho wa siku faida(gawio ) unapata kulingana na hisa ulizonazo!
 
Jenga hoja ...
Naona upo kimipasho zaidi..

hoja ipi? ukp narrow minded

kama diamond yuko huu basi waza ampite wizkidx davido, tecno n.k

dunia ni kijiji bana

waza aende kimataifa na atapata support

one thing you must know, no one cares kama anapata mamilioni, mamia, ma bilion, so far waliofanya uamuzi wako happy...theb be it
 

nani kasema ndogo mjomba??

umetunga swali lako, hoja yako na ukajijibu

sijasema ndogo katu, wala sijadharau
 
Nyie shusheni tu sie twatimua vumbi[emoji470][emoji470][emoji470][emoji23]
 
Bro unaongea pumba Sana ndo tatizo la team kiba yaani wewe ukipata like kwa comment hii mshukuru mungu alafu unaonekana ujui kitu we baki jukwaa la siasa hapa upawezi.

wewe ukisema tu mtu anaongea pumba inakuwa sio??? ha ha

yaani umejiweka level ambayo unaweza ukaamua kuwa huyu kasema pumba na watu wote duniani wanakuitikia..acha kuwa inferior

hasira zako ni kujua mmiliki wa WCB ndio huyo huyo wa clouds FM??

najua hili linauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…