Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

Shilawadu wana hali mbaya sana kutokana na hili bifu,

Kiba intavyuu ndo kitu hawezi bora kuimba tu... wako disappointed ila wanavitutumua.
 

hii akili mwanzisha thread hana

na hajui kuwa diamond alikuwa once anachukua tuzo za afrika, na alitakiwa awe kwenye global stage.
yeye anaona mafanikio ni kuwa no. 1 trending

mashairi ya sasa mabovu kabisa....
 
Game ya bongo flavour haifi....

Ipo na itaendelea kuepo..

Waliofikiri kwamba wameishika game na wanaiongoza wao ndo wanapotea.

Kuna wasanii wapumbavu ambao bado wako controlled na hizo media..
Game kwa sasa mkuu hailipi mkuu hilo lipo wazi mpaka sasa haijulikani fiesta ipo ama vipi lakini pia wasanii wapo kimakundi wengi hawana ubavu wakuwakimbia clouds
 
hii akili mwanzisha thread hana

na hajui kuwa diamond alikuwa once anachukua tuzo za afrika, na alitakiwa awe kwenye global stage.
yeye anaona mafanikio ni kuwa no. 1 trending

mashairi ya sasa mabovu kabisa....
Hao ndio washauri wa DIMONDI,wanaambiana waingie youtube na ku click nyimbo za dimond kuongeza views basi wao wanaona inatosha ili wawecheke kina team kiba,ndipo walipofikia.
 
hii akili mwanzisha thread hana
na hajui kuwa diamond alikuwa once anachukua tuzo za afrika, na alitakiwa awe kwenye global stage.
yeye anaona mafanikio ni kuwa no. 1 trending
mashairi ya sasa mabovu kabisa....
Diamond has gone global long ago....
We jamaa vipi!??
 
WIVU NI STEJI YA MWISHO KABLA YA KUWA MCHAWI, HAKUNA ALIEFANIKIWA BILA MAADUI NA PIA BILA MARAFIKI, UKITAKA KUFIKA MBALI UNAHITAJI WATU WA KARIBA HIZO MBILI, SI KWA DIAMOND WALA KWA ALIKIBA WALA KWA MWANSIASA NA HATA KWAKO, HII FOMULA NI KWA KILA ALIE NA UCHUNGU YA KUFIKIA NA KUZIDI KWENDA JUU KIMAFANIKIO, HAIITAJI UUMIZE AKILI KUJUA KUWA ILI UFANIKIWE UNAHITAJI MARAFIKI ILI ILI UFANIKIWE ZAIDI UNAHITAJI MAADUI, UKIONA UNAPENDWA NA KILA MTU JUA UNA KASORO, SIONI HAJA YA KUUMIZA KICHWA WAKATI NI MFUMO WA MAISHA ULIVYO.
 
ohoo
Wamechill tu...

Kiongozi wao ni Matola . Alafu kuna mtu anaitwa Nifah ...
Hao jamaa ni majeshi.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaaaaa wewe naeeee! Unakumbuka kipindi kile hadi tulikuwa maadui? Nyakati zile zimepita haziwezi kurudi tena 🤦🏻‍♀️
 
heshima yako kiongozi.... NimekuelewA VYEMAA.
kumbe ndio maana Fid Q kuna ngoma moja aliimba... "SI HITAJI MARAFIKI"... now I know.
 
Wakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unataka ashuke kimziki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…