Kuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo.
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana.
Hii ni kweli??
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana.
Hii ni kweli??