Hulaaniwi wewe kaziangalie tuu, kwani una shida gani na nyeti mzazi wako?Kuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa na mambo yote yanakwenda kombo.
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Biashara inakuwa imekwisha.
Hii ni kweli??
Watoto siku hizi wanawakaza mama zao au wanakazwa na baba zao na hawapati laanaKuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo.
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana.
Hii ni kweli??
Hakika
Daah! Hatari sana.Watoto siku hizi wanawakaza mama zao au wanakazwa na baba zao na hawapati laana
Wewe unasema kuona tu.
All in all nadhani ni mila na zimesaidia kwa kiwango kikubwa kuleta heshima kwa wazazi.
Japo sasa zinapotea
Mhhhh!Umeona wapi hii mkuu?Watoto siku hizi wanawakaza mama zao au wanakazwa na baba zao na hawapati laana
Wewe unasema kuona tu.
All in all nadhani ni mila na zimesaidia kwa kiwango kikubwa kuleta heshima kwa wazazi.
Japo sasa zinapotea
Wanawake walio wengi wamelaniwa sababu wanavaa nguo fupi wanainama kufanya usafi mbele ya watoto wao wakiume miaka hii mtoto wa kiume kuona uchi wa mamake kawaida tu hasa hawa wanajiita wasomiKuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo.
Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana.
Hii ni kweli??
Baadhi ya wanawake wanavaa nguo fupi wanaina au kuketi nao kuangalia tv watoto wanaona k za mama zaoSasa wewe ukaangalie tupu za mzazi wako zanini ukiona kunadalili kwanini usikimbie, muulize Hamu mwana wa Nuhu;
Kitendo cha mtoto baba kulala na mwanae hiyo ndio laana unadhani kulaaniwa lazima uvuo nguo barabalani?Watoto siku hizi wanawakaza mama zao au wanakazwa na baba zao na hawapati laana
Wewe unasema kuona tu.
All in all nadhani ni mila na zimesaidia kwa kiwango kikubwa kuleta heshima kwa wazazi.
Japo sasa zinapotea
Imani tu, hata kidini haipo. Kumbuka hata dini ni mkusanyiko wa mila na desturi za jamii mbalimbali. Sawa tu na sheria za nchi.Umeshacheki nyeti za mzazi nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Kisayansi, hiyo nadharia haikubaliki. Labda Kidini na Kimila
Malezi ya vijana wa ccmKuna msemo unasema MHESHIMU MKUBWA WAKO KAMA MZAZI WAKO.
Leo hii naangalia Porn za wakubwa zangu hatariii. Sasa naangalia porn za wakubwa sijui laana nitanifika😂😂
Kitendo cha mama kuvaa kisiketi au kanga 1 hali yakuwa anajua kuwa anaishi na watoto wake wa kiume waliokomaa wakati huo anaketi nao sebuleni kutazama tv au anainama kukosa viombo au kudeki ni kuwalaza watoto hao kuona uchi wake na hiyo imekuwa kawaida hasa kwa hawa wanawake wanajifanya kwenda na wakatiImani tu, hata kidini haipo. Kumbuka hata dini ni mkusanyiko wa mila na desturi za jamii mbalimbali. Sawa tu na sheria za nchi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app