Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

Asante mkuu. Nimekupata hapo, ila we are no longer boys sema stori nimeiweka ki childish sana naona watu wanadiss! Ni watu wazima now, above 26 na kuendelea...
 
Bro! kwa heshima kabsa, naomba source ya hizi nondo, much respect ✊
 
Mawazo na thought zetu hukamilikaga vingi hutokea..
 
Umeanza kueleza vzuri sana mpaka nikavutiwa kusoma story yako. Ila ulipofika pale Mara Birthday yang ilikiwa inakaribia, Mara boys hawakuniwish sabab ya Wivu nikajuq tayar shida ipo hapa. Anyway hiyo ipo kwa kila mtu na nazani inatofautiana kwa mtu na Mtu. Hujawah kukaa unasikiliza redio na ukawa na hisia nq Wimbo flan na Mara vuu Dj akapiga wimbo huo, Au umekaa tuu na mtu mara ghafla mnafanya tukio moja kwa pamoja, Inaweza kuwa kuimba au kuinuka kwa lengo la kufanya jambo flan
 
Ndiyo Mkuu
 
Mbona ndivyo ilivyokua! Sijawahi kudanganya wala kutengeneza stori za uongo humu! Mm naona watu wanareact hicho kipande!

Kweli kabisa, especially zile playlist za maredioni ishawahi nitokea mara nyingi, au unakua umefikiria saa hivi itakua mda flan, then unajaribu kucheki saa unakuta imetimia kweli... au unawaza mtu flani atakua anamatatizo then unajaribu kumchek unakuta kweli labda anumwa.

Je unafikiri kuna mechanism gani inatokea hapo? Nishasoma kuhusu telepathy ila bado sijawa na usibitisho wa kutosha, maana kama ni hivyo watu wangeitumia kama advantage kucontrol reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…