Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Nimekupata hapo, ila we are no longer boys sema stori nimeiweka ki childish sana naona watu wanadiss! Ni watu wazima now, above 26 na kuendelea...OK Good question
Kuna outward na inward
Dunia yako ya ndani huitwa inward, hii hujiushisha na kila kitu Ambacho huendelea katika maisha yako kwa ndani mfano, kufikiri ,hisia n.k
Then kuna outward hii ni dunia ya nje ambayo humtokea MTU ,mfano maisha yako na kila kitu kinachoendelea.
Point yangu hii hapa.
Unaweza kuwa umepata kitu outward Ila unabidi kuelewa vitu vyote huanzia inward ,kazi , mahusiano n.k.
So unapokuwa driven mambo ya nje Sana unakuwa unaua nguvu yako ya ndani na kuanza kukosa vitu chanya.
Nimeona umesema huajawa wishes na rafiki zako au schoolmates wako boys katika Birthday yako.
Badala ya kulalamika unashukuru na kuwashukuru maana siku usiyoijua ndo siku wanaweza kukufanyia jambo positive . Ila hawatofanya ikiwa utawalalamikia na kuwalaumu.
So your thought becomes things unabidi kuwa na positive thoughts 24/7 .
Bro! kwa heshima kabsa, naomba source ya hizi nondo, much respect ✊OK Good question
Kuna outward na inward
Dunia yako ya ndani huitwa inward, hii hujiushisha na kila kitu Ambacho huendelea katika maisha yako kwa ndani mfano, kufikiri ,hisia n.k
Then kuna outward hii ni dunia ya nje ambayo humtokea MTU ,mfano maisha yako na kila kitu kinachoendelea.
Point yangu hii hapa.
Unaweza kuwa umepata kitu outward Ila unabidi kuelewa vitu vyote huanzia inward ,kazi , mahusiano n.k.
So unapokuwa driven mambo ya nje Sana unakuwa unaua nguvu yako ya ndani na kuanza kukosa vitu chanya.
Nimeona umesema huajawa wishes na rafiki zako au schoolmates wako boys katika Birthday yako.
Badala ya kulalamika unashukuru na kuwashukuru maana siku usiyoijua ndo siku wanaweza kukufanyia jambo positive . Ila hawatofanya ikiwa utawalalamikia na kuwalaumu.
So your thought becomes things unabidi kuwa na positive thoughts 24/7 .
Ok boss. Nikadhani upo sekondary maana hadithi ni ya chekechea na primary.Tupo chekechea.
Ww hujaelewa umesoma haraka.
Poa mkuu.Ni kama Disney mkuu.
tunatumia childish visuals ku portray messages wachache kuelewe ni ngumu.
Mawazo na thought zetu hukamilikaga vingi hutokea..Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine.
So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no where nashangaa tu nimemuwaza! Hata bila sababu! Nikawa nakaushia tu ukizingatia walisha hama na sina namba na hata sidhani kama angenikumbuka. Ila inapita miezi au weeks kadhaa namuwaza tena bila sababu tu kama tunavyokumbukaga vitu vya zamani for no reason.
Mwaka juzi nikaungwa group la primary WhatsApp! Af ukizingatia ilikua imekaribia birthday yangu, so ilivyofika tu nikapostiwa. Watu walikua wamenimiss kinoma hasa mademu, duuh niliwishiwa vyakutosha ila madume mengi yalikaa kimya najua yalikua na jealous🤣 tu.
So baada ya bday kama siku 3 hiv nashangaa dm. Mtoto sijamtambua! Nikamwambia akasema tumesoma wote primary na namba yako nimetoa huko... long story short ni pisi ambayo skutegemea itanitafuta... hatukuwahi ongea, primary na hatukumaliza la saba wote. Ila nikikua nampenda kichizi. Na nilikua naota ndoto sometimes af naamka najilaani kuota ndoto za kijinga na kuuharibu usingizi wangu.
Ukweli nilichanganyikiwa na kuhisi labda ninanguvu zisizo za kawaida... baada ya hilo jambo kutokea.
Je kuna uhalisia wowote kuhusu mawazo ya binadamu kutengeneza uhalisia.? Kunavitu vingi vimeshawahi tokea kwa kuviwaza kwanza baada ya hilo tukio. Najua kuna watu wanaexperience zao pia karibuni.
Usirudie kunijibu nimekwambia, tena nitakupa khelbu sasa hivi...☹️We're never old, age is just a number.
wizo una nini lakiniUkikua utaacha
Tafuta engine mpya mkuu, achana na hiyo FIATIAge is just a number mkuu!
Ndiyo MkuuKuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine.
So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no where nashangaa tu nimemuwaza! Hata bila sababu! Nikawa nakaushia tu ukizingatia walisha hama na sina namba na hata sidhani kama angenikumbuka. Ila inapita miezi au weeks kadhaa namuwaza tena bila sababu tu kama tunavyokumbukaga vitu vya zamani for no reason.
Mwaka juzi nikaungwa group la primary WhatsApp! Af ukizingatia ilikua imekaribia birthday yangu, so ilivyofika tu nikapostiwa. Watu walikua wamenimiss kinoma hasa mademu, duuh niliwishiwa vyakutosha ila madume mengi yalikaa kimya najua yalikua na jealous🤣 tu.
So baada ya bday kama siku 3 hiv nashangaa dm. Mtoto sijamtambua! Nikamwambia akasema tumesoma wote primary na namba yako nimetoa huko... long story short ni pisi ambayo skutegemea itanitafuta... hatukuwahi ongea, primary na hatukumaliza la saba wote. Ila nikikua nampenda kichizi. Na nilikua naota ndoto sometimes af naamka najilaani kuota ndoto za kijinga na kuuharibu usingizi wangu.
Ukweli nilichanganyikiwa na kuhisi labda ninanguvu zisizo za kawaida... baada ya hilo jambo kutokea.
Je kuna uhalisia wowote kuhusu mawazo ya binadamu kutengeneza uhalisia.? Kunavitu vingi vimeshawahi tokea kwa kuviwaza kwanza baada ya hilo tukio. Najua kuna watu wanaexperience zao pia karibuni.
Mbona ndivyo ilivyokua! Sijawahi kudanganya wala kutengeneza stori za uongo humu! Mm naona watu wanareact hicho kipande!Umeanza kueleza vzuri sana mpaka nikavutiwa kusoma story yako. Ila ulipofika pale Mara Birthday yang ilikiwa inakaribia, Mara boys hawakuniwish sabab ya Wivu nikajuq tayar shida ipo hapa. Anyway hiyo ipo kwa kila mtu na nazani inatofautiana kwa mtu na Mtu. Hujawah kukaa unasikiliza redio na ukawa na hisia nq Wimbo flan na Mara vuu Dj akapiga wimbo huo, Au umekaa tuu na mtu mara ghafla mnafanya tukio moja kwa pamoja, Inaweza kuwa kuimba au kuinuka kwa lengo la kufanya jambo flan