Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

Kamanda,
Si kweli dawa zote zitakuwa hazifanyi kazi ukinywa maziwa wakati unazitumia. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo hushauriwi unywe maziwa pindi ukiwa unazitumia
  1. Tetracycline
  2. Antiacid (alminium ones)

Karibu kama una maswali zaidi
 
Asante mkuu...sasa kipi hutokea kati ya hizo dawa na maziwa..yani ni zenyewe tu kuacha kufanya kazi au athari pia kwako uliyetumia
 
Kamanda,
Si kweli dawa zote zitakuwa hazifanyi kazi ukinywa maziwa wakati unazitumia. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo hushauriwi unywe maziwa pindi ukiwa unazitumia
  1. Tetracycline
  2. Antiacid (alminium ones)

Karibu kama una maswali zaidi
sure ni dawa chake ikiongezeka ciprofloxacin na kuna zingine ni vizuri kunywa na maziwa ka ALU.
 
refer kwa mtoto mchanga...mama anatoa maziwa ambayo ni standard na yanavirutubisho vya kutosha kwa ajili ya mwanae..but sijawahi sikia ati asimnyonyeshe mwanae kama anatumia dozi.. hata kama mtoto ana less than a day...anapewa dawa in case anaumwa na kushindilia maziwa ya mama hapohapo
 
Kamanda,
Si kweli dawa zote zitakuwa hazifanyi kazi ukinywa maziwa wakati unazitumia. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo hushauriwi unywe maziwa pindi ukiwa unazitumia
  1. Tetracycline
  2. Antiacid (alminium ones)

Karibu kama una maswali zaidi

je dawa za minyoo
 
me nakunywa hizi dawa metronidzole. Amoxilin. Omeprazole na pia nakunywa maziwa huku nipo kwenye hiyo doze je nimeharibu doze coz umemention antacid
 
Inategemea, maziwa huzuia kunyonywa tetracycline, pombe uzuia kuharibiwa flagyl,pombe inaeza inaeza leta matatizo kwenye figo ikiwa kama anatumia frusemide na anaweza kupoteza maji sana
 
Lakini ukinunua dawa ,tazama karatasi yake utaona contraindications: mfano usitumie kama mjamzito.
Pia drug interaction: watakuambia Ni dawa gani usichanganye.
Food interaction: vyakula vinavyohusiana
 
Inategemea, maziwa huzuia kunyonywa tetracycline, pombe uzuia kuharibiwa flagyl,pombe inaeza inaeza leta matatizo kwenye figo ikiwa kama anatumia frusemide na anaweza kupoteza maji sana

Disulfiram like effect because it's inhibit alcohol dehydrogenase enzyme( ADH)
 
Disulfiram like effect because it's inhibit alcohol dehydrogenase enzyme( ADH)

Wewe lazima Ni daktari au mwanafunzi wa udaktari,Ni kweli na hii disulfiram hutumiwa haswa mirembe kukomesha wale wale maconco wa ulabu
 
Si dawa zote ila kuna baadhi ya dawa zina ingiliana na maziwa hasa zile ambazo kwenye chemical structure yake zina uwezo wa kutengeneza bonds na magnesium na calcium zilizopo kwenye maziwa. Hii process ya kutengeneza hizo bond huitwa chilation. Dawa ambazo kwa kiasi ki kubwa huwa na muingiliano na namna hii na maziwa ni kama
> Kundi ya tetracyclines kama Doxycycline, tetracycline yenyewe etc
> Kundi la Quinolones kama Ciprofloxacin, Levofloxacin etc
> Ant acids. Kwa hiyo si kweli ni dawa zote zina ingiliana na maziwa maana dawa kama Artemether Lumefantrine(mseto ya malaria) Tunashauri unywe maziwa unaookuwa unaitumia. Nimejaribu kueleza kwa lugha rahisi kidogo ili tuelewane natumaini utakuwa umeelewa mkuu. Kama utakuwa ma swali utauliza tu
 
Dawa ambazo hazipaswi kuchukuliwa na maziwa ni TETRACYCLINE . Na tetracycline derivative yaani ndugu zake na tetracycline kama DOXYCYCLINE , oxytetracylin na minocyclin , na nyingine tunaziita FLOROQUINOLIN kama Ciprofloxacin.Hizi dawa zinaform chelating agent na madini kama Ca+2,mg 2+ (divalent metal) zinatengeza complex structure ambayo haiwezi kuwa absorbed kwenye system kwa maana nyingine zinafanya dawa isiwe active.kwa hiyo basi maziwa yanakatazwa kwa kuwa yanakiwango kikubwa cha madini haya sanasana ya Ca2+ . Kwa mama anayenyonyesha au mjamzito kuanzia miezi 6 na kuendelea akiwa anachukua dawa kama doxycycline kuna uwezekano mtoto kuwa na meno yenye rangi (Permanent teeth descoloration ) kuwa na mifupa isiyo imara kwa kuwa hizo dawa zinapita kwenye maZiwa ( secretion in milk)
 
Maelezo mazuri. I think pia ulitaka ku maanisha fluoroquinolones.
 
me nakunywa hizi dawa metronidzole. Amoxilin. Omeprazole na pia nakunywa maziwa huku nipo kwenye hiyo doze je nimeharibu doze coz umemention antacid
omeprazole sio ant acid japo inapunguza acid. pia hiyo dozi yako ya ulcers inamakosa. kati ya amoxi na metro moja inatakiwa kutoka na kuweka claritthromycin.
 
omeprazole sio ant acid japo inapunguza acid. pia hiyo dozi yako ya ulcers inamakosa. kati ya amoxi na metro moja inatakiwa kutoka na kuweka claritthromycin.
Kwanin OMEPRAZOLE isiwe antiacid ?

1. Anti acid inaweza kuwa base ambayo Inaweza kuongeza pH au ku neutralize acid AL(OH)3 .tunasemaga chemical antagonist .
Proton pump inhibitor Omeprazole , pentaprazole , lansaprazole , rabeprazole are all antiacid sir we call it receptor antagonist

2 why clarithromycin and not Amoycillin or metronidazole
 
umeeleza vema base ndiyo tunaita antiacid kwa sababu ya mode of action, omeprazole ni PPI na tuna H-[SUB]2 [/SUB]antagonist. zote zinapunguza acid lakini hatuiti zote antacid. best regimen ya kutibu PUDD inabase kwenye clarithtromycin na unadd amox. metro inatumika kwa watu ambao wana allegy na penicillin. ukitoa clarithromycin unapunguza nguvu ya regimen.clarithro ni lazima iwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…