Dawa ambazo hazipaswi kuchukuliwa na maziwa ni TETRACYCLINE . Na tetracycline derivative yaani ndugu zake na tetracycline kama DOXYCYCLINE , oxytetracylin na minocyclin , na nyingine tunaziita FLOROQUINOLIN kama Ciprofloxacin.Hizi dawa zinaform chelating agent na madini kama Ca+2,mg 2+ (divalent metal) zinatengeza complex structure ambayo haiwezi kuwa absorbed kwenye system kwa maana nyingine zinafanya dawa isiwe active.kwa hiyo basi maziwa yanakatazwa kwa kuwa yanakiwango kikubwa cha madini haya sanasana ya Ca2+ . Kwa mama anayenyonyesha au mjamzito kuanzia miezi 6 na kuendelea akiwa anachukua dawa kama doxycycline kuna uwezekano mtoto kuwa na meno yenye rangi (Permanent teeth descoloration ) kuwa na mifupa isiyo imara kwa kuwa hizo dawa zinapita kwenye maZiwa ( secretion in milk)