kwanza maziwa yanaathiri dawa ikiwa tumboni tu na sio kwenye damu, kwanza tujue hilo. pili dawa kutoka tumboni hadi kwenye damu mara nyingi huchukua nusu saa hadi saa moja. hivyo ni vema kusubiri saa moja hadi mbili ndiyo unywe maziwa.Ni muda gani sasa naruhusiwa kunywa maziwa baada ya kumeza dawa hzo zisizoruhusu maziwa?
kwanza maziwa yanaathiri dawa ikiwa tumboni tu na sio kwenye damu, kwanza tujue hilo. pili dawa kutoka tumboni hadi kwenye damu mara nyingi huchukua nusu saa hadi saa moja. hivyo ni vema kusubiri saa moja hadi mbili ndiyo unywe maziwa.
kuna wale wakinywa dawa hutapika. huwa tunasema ukitapika kabla ya nusu saa rudia dozi ila baada ya nusu saa usirudie.
hii cheki post namba 26. nimeweka dawa na maelezo ya muda gani usubiri yako mwishoni.Na vipi kuhusu unywaji wa pombe,,nipe elimu hapo mkuu
Lakini ukinunua dawa ,tazama karatasi yake utaona contraindications: mfano usitumie kama mjamzito.
Pia drug interaction: watakuambia Ni dawa gani usichanganye.
Food interaction: vyakula vinavyohusiana
Bujibuji tatizo lako unapenda kununua zile dawa za kuchotewa kwa kijiko toka kwenye kopo kubwa. Lol!Dawa zetu hazinaga makasha yake tunauziwa kwenye vibahasha, halafu yule muuzaji anayejiita dokta wakati miezi miwili nyuma alikuwa ni mlinzi wa hilo duka anacharaza sana mwandiko ili tushindwe kusoma jina la dawa. Unaambulia kuona 2x3 baaaaas. mwaJ
kwenye nomenclature ya dawa kuna sababu mbalimbali kama chemical constituents, clinical use au mode of action. kwa hizi dawa za za kupunguza acid tunaziname kutokana na mode of action..
umeeleza vema base ndiyo tunaita antiacid kwa sababu ya mode of action, omeprazole ni PPI na tuna H-[SUB]2 [/SUB]antagonist. zote zinapunguza acid lakini hatuiti zote antacid. best regimen ya kutibu PUDD inabase kwenye clarithtromycin na unadd amox. metro inatumika kwa watu ambao wana allegy na penicillin. ukitoa clarithromycin unapunguza nguvu ya regimen.clarithro ni lazima iwepo.
kuna mzee mmoja alinambiaga eti unaeza kunywa bia na dawa zote na ukawa poa. Ila ukinywa flagyl na bia kaa karib na jeneza. Hii story ina ukwel wakuu?
Kamanda,
Si kweli dawa zote zitakuwa hazifanyi kazi ukinywa maziwa wakati unazitumia. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo hushauriwi unywe maziwa pindi ukiwa unazitumia
- Tetracycline
- Antiacid (alminium ones)
Karibu kama una maswali zaidi
Sio kweli kwamba maziwa yanaharibu dawa zote bali ni baadhi ya dawa...
- kwa watu wenye hypothyroidsm na wanaotumia levaxin(thyroxin) hawatakiwi kunywa pamoja na maziwa au calcium products/mineralsupplements zilizo na aluminium,magnesium nk kwasababu zinapunguza absorption ya thyroxin.Unatakiwa kuwa na time-intervall at least ya masaa manne kati ya thyroxin na maziwa
- Vilevile kwa wanaotumia biphosphonates kwaajili ya osteoporosis hawatakiwi kutumia dawa hio pamoja na maziwa au calsium products.Watumiaji wengi wa biphosphonates,wanaepuka kutumia calcium products kwenye ile siku wanazokula hizo dawa.
- Na kwa most antibiotics ziluzotajwa hapo juu haswa za group la tetracyclines(mf doxylin,doxycyclin),ciprofloxacin/ciproxin unatakiwa uwe na time-intervall ya masaa 2-3 ukila dawa na ukitumia maziwa au products za maziwa na mineralsupplements zilizotajwa(Al,Mg) au ANTACIDS ni dawa zinazoneutralize acid nazo zina carbonates ni sodium bicarbonate,magnesium carbonate na almuminium carbonate. Base neutralizes acid. Na hazitakiwi kutumiwa pamoja since zinategeneneza complex na hizo dawa na inakuwa haina effect kwasababu haiwezi kuwa absorbed.
Thnx Dr Che Guevaraumeeleza vema ndugu...
Naskia na za minyoo si ndio dr au
Nimekunywa Maziwa mgando baada ya mda nikameza flucamox na Metrinidazole je nitakuwa nimeuwa nguvu ya dawa,Sio kweli kwamba maziwa yanaharibu dawa zote bali ni baadhi ya dawa...
- kwa watu wenye hypothyroidsm na wanaotumia levaxin(thyroxin) hawatakiwi kunywa pamoja na maziwa au calcium products/mineralsupplements zilizo na aluminium,magnesium nk kwasababu zinapunguza absorption ya thyroxin.Unatakiwa kuwa na time-intervall at least ya masaa manne kati ya thyroxin na maziwa
- Vilevile kwa wanaotumia biphosphonates kwaajili ya osteoporosis hawatakiwi kutumia dawa hio pamoja na maziwa au calsium products.Watumiaji wengi wa biphosphonates,wanaepuka kutumia calcium products kwenye ile siku wanazokula hizo dawa.
- Na kwa most antibiotics ziluzotajwa hapo juu haswa za group la tetracyclines(mf doxylin,doxycyclin),ciprofloxacin/ciproxin unatakiwa uwe na time-intervall ya masaa 2-3 ukila dawa na ukitumia maziwa au products za maziwa na mineralsupplements zilizotajwa(Al,Mg) au ANTACIDS ni dawa zinazoneutralize acid nazo zina carbonates ni sodium bicarbonate,magnesium carbonate na almuminium carbonate. Base neutralizes acid. Na hazitakiwi kutumiwa pamoja since zinategeneneza complex na hizo dawa na inakuwa haina effect kwasababu haiwezi kuwa absorbed.
One hour before or after medicationNi muda gani sasa naruhusiwa kunywa maziwa baada ya kumeza dawa hzo zisizoruhusu maziwa???