Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Waganga wajanja sana. Check hizo kamba.

Yeye mwenyewe hana hata Biashara ya genge.

Watoto wake wakubwa wana familia maisha yamewachapa hjjaweza kuwasaidia hata kuingiza kipato cha elfu 10 kwa siku
Waganga WALIKUWEPO Toka dahari wataendelea kuwepo shida watu wanapenda kuzungumzia vitu wasivyovijua.Ujue kazi ya uganga ya kwanza ni kutibu.na kabla ya kuja doctor wa koti jeupe wao ndio walitibu,Usisahau mkunga wa jadi nae ni mganga na alizalisha watoto nyakati hizo.Jina na neno mganga ni Pana kuliko udhaniavyo.
 
Hawa wa kutupa utajiri?
 
Mganga aliyeshindwa kujitajirisha yeye mwenyewe, Ndio unategemea akupe mwelekeo wa biashara yako?

Common sense kidogo tu, Hamna.

Ndio maana mnatapeliwa kila kukicha.
 
Hawa wa kutupa utajiri?
Utajiri kama hukuandikiwa huwezi kupata na ukilazimisha ndio yanakuja maagano na masharti.Mganga mkweli kama inatafuta kazi atakwambia let's jina ya kampuni unayoomba kazi,unamjua bosi yeyote,kama una biashara atakusafisha atakulinda na maadui wanaoonekana na wasioonekana,atakuwa mvuto na mambo yataenda.lazima aone mwelekeo.
 
Back
Top Bottom