Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Kumbe dini zimefafanua maswala ya kiganga😅 au mimi ndo sijui
Kwani uganga ni nini?hujawahi enda hospitali ukakuta mlango umeandikwa mganga mkuu,mfawidhi na kadhalika.kuna vimbe zinashindikana hospitali zinaponea kwa waganga.msiuppeleke uganga kwenye utajiri na kuchuma pesa tu.Waganga pia hutibu maradhi mbalimbali yaliyoshindikana hospitali.
 
Umeshataja Imani tayari,ili UENDE kwa mganga umeshaamini atasaidia.Na waganga wapo wa Aina tofauti pia wapo ambayo hutibu kwa misingi ya Dua za kiislam,wapo watumiao mizimu,wapo watumiao vitabu.Mganga akikutibu kidua maana yake anatumia uislam na uislam ni dini.
Hakuna mganga anayetibu kwa misingi ya dua za kiislamu ndugu. Hao waganga wanaotibu kwa maneno sjui ya kiarabu wanajua wenyewe wanazungumza nini.
Uislamu umepiga vita kali dhidi ya huo ushirikina.
Soma vizuri ndiyo utoe hoja.
 
Mzee acha ubishi wa ngomani,Kuna mgonjwa anatibiwa kwa kusomewa hizo hizo Dua za quraani ,hizo hizo.
 
Utajiri wa ajabu UPO nukta.
Kama utajiri wa ajabu upo. Nenda kautumie kwa nguvu zako zote na juhudi zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos, Billgates Warren Buffett n.k

Au walau basi uwazidi matajiri wakubwa hapa Afrika kama Dangote, Bakhressa na Mo Dewji.

Ukifanikisha hilo, rudi hapa utupe mrejesho wa huo utajiri wa ajabu.

Unless otherwise hizi ni porojo tu unapiga hapa.
 
Kama utajiri wa ajabu upo. Nenda kautumie kwa nguvu zako zote na juhudi zako zote Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos, Billgates Warren Buffett n.k

Au walau basi Uwazidi matajiri wakubwa hapa Afrika kama Dangote, Bakhressa au Mo Dewji.

Ukifanikisha hilo, rudi hapa utupe mrejesho wa huo utajiri wa ajabu.

Unless otherwise hizi ni porojo tu unapiga hapa.
Kwani mi nimekwambia nataka utajiri,wewe unadhani kila mtu anataka utajiri?hapa ni baraza I tunabadilishana mawazo kumjibu mtoa hoja.Hili neno la utajiri wa kimazingara sikulianzisha Mimi nimelikuta,nalijadili.Sio kila kitu kinajadiliwa kama malumbano ya Hoja.
 
Ila lazima uingie gharama
Sio kweli.

Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!

Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.

Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.

Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
 
Kwani uganga ni nini?hujawahi enda hospitali ukakuta mlango umeandikwa mganga mkuu,mfawidhi na kadhalika.kuna vimbe zinashindikana hospitali zinaponea kwa waganga.msiuppeleke uganga kwenye utajiri na kuchuma pesa tu.Waganga pia hutibu maradhi mbalimbali yaliyoshindikana hospitali.
Mzee acha ubishi wa ngomani,Kuna mgonjwa anatibiwa kwa kusomewa hizo hizo Dua za quraani ,hizo hizo.
Waganga ni watu wabishi mno na mara nyingi wanahisi wapo sahihi kumbe laah.
Kusomewa ruqya inafaa kwa mgonjwa, mtu aliye patwa na hasad n.k.
Lakini huwezi sema eti mfanya biashara akabustiwe na mganga kivipi? Soma dini vizuri ndo uje utoe hoja, anayetoa rizki ni Mungu pekee vinginevyo hiyo inaingia katika shirki tena shirki kubwa.
Point zako ni less sana yaan hamna hoja yenye mashiko.
Muogopeni Mwenyezi Mungu enyi mnao jiita waganga wa jadi.
 
Back
Top Bottom