Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Mganga aliyeshindwa kujitajirisha yeye mwenyewe, Ndio unategemea akupe mwelekeo wa biashara yako?

Common sense kidogo tu, Hamna.

Ndio maana mnatapeliwa kila kukicha.
Utajiri unatoka kwa Mungu mkuu au kwa kurithi,mengineyo ni maagano.We SI ndio unataka utajiri so yeye ukipenda anakupa mbinu za kupata.Utajiri sio LENGO lake yeye kazi yake ni kuagua na kufuata Mila na miiko ya kazi yake.
 
Utajiri unatoka kwa Mungu mkuu
Kwanza Mungu hayupo.

Hakuna utajiri wa aina yeyote ile unaotoka kwa Mungu.
au kwa kurithi,mengineyo ni maagano.We SI ndio unataka utajiri so yeye ukipenda anakupa mbinu za kupata.Utajiri sio LENGO lake yeye kazi yake ni kuagua na kufuata Mila na miiko ya kazi yake.
Utajiri ni wa wanadamu.

Utajiri unatoka kwa wanadamu.

Utajiri upo kwa wanadamu.

Hakuna utajiri wa kishetani, freemason, Illuminati, ritual, kichawi au kishirikina.

Utajiri haupatikani kwa uchawi, uganga au ushirikina.

Hakuna Mungu anayetoa utajiri.

Hakuna Shetani anayetoa utajiri.

Siku zote utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina husikika tu kwa watu maskini hasa waafrika maskini choka mbaya, pangu pakavu tia mchuzi.

Huwezi kusikia hata siku moja kwamba utajiri wa Mo Dewji umetokana na uchawi au ushirikina. Bali Mo Dewji alipewa mtaji mkubwa na baba yake. Na utajiri wake unatokana na makampuni yake makubwa ya vinywaji na chakula hapa nchini.

Huwezi kusikia kwamba Elon musk utajiri wake unatokana na uganga au ushirikina. Utajiri wa Elon musk unatokana na kampuni zake za Space X, Tesla na Twitter.

Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Jeff Bezos ulitokana na uchawi, uganga au ushirikina. Bali utajiri wa Jeff Bezos umetokana na kampuni yake ya Amazon.

Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Aliko Dangote umetokana na ushetani au ushirikina. Bali utajiri wa Dangote umetokana na viwanda vyake vikubwa vya saruji na makampuni yake.

Halafu unakuta kuna makapuku huko wana aminishana kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina.

Chaku shangaza bado umaskini wao upo vilevile.

Ukiwauliza kwa nini wasiutumie huo utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina kuwa matajiri kama Bakhressa wanakwambia wana ogopa masharti...!!

Ndio mentality za waafrika hizi..!!
 
Utajiri wa ajabu UPO nukta.
 
Back
Top Bottom