Hivi ni kweli mshahara wa Rais ni Milioni 9 kama alivyowahi kutuambia Hayati Magufuli?

Yule alikua ni Raisi wa vituko, vichekesho na kupenda sifa.
Mbele ya hadhara ya wananchi maskini (wanyonge) kiongozi yoyote angewezwa kudhalilishwa kwa namna yoyote ile
 
Nikweli kwanu msharahara wa katibunkiongoiz ni 6 million .Hata wabunge mshahara ni 2.4 million lakink ukiweka marupurupu yasiyokatwa Kodi, Rai's anapata kama 60 take-home kila mwezi wakati wabunge wanakula 12 million take home
Wabunge kwasasa wanalamba milioni 16
 
ikiwa marehemu likwelile amefariki akiwa na utajiri wa bilioni 4 unategemea magufuri amekufa akiwa na utajiri kiasi gani?
 
Magu alisema mshahara wake milioni tisa kweli kabisa,lakini CAG aligundua upotevu wa tirioni 1 nanusu magufuli hoyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…