Mifumo haina kumbukumbu. kwani mara ya kwanza kula piza uliharisha?? Hapo jibu ni moja tu, HUYO MAMA HAJUI KUPIKA.Nadhani kwa sababu unakuta digestion system haijazoea aina hiyo ya chakula hasa kama chakula kina viungo vikali, mafuta mengi, hapo inatokea kuharisha, gesi, au tumbo kujaa
Nyama robo hio... ungempa elimu tuila Cha kushangaza Baada ya muda wa masaa kadhaa kupita watoto wakaanza kuharisha.
Nyama robo imefanya yake.. najua ushaelewaKwaio watz tushazoea kula vyakula vibaya?
Nyama robo imeleta shida..Mifumo haina kumbukumbu. kwani mara ya kwanza kula piza uliharisha?? Hapo jibu ni moja tu, HUYO MAMA HAJUI KUPIKA.
Nyama robo mzoga...Kushindilia chakula tumboni nako kuna madhara. Unaweza kutapika na kuharisha, unakuta mtu anakula kilafi chakula kingi cha kigeni kwa kuwa hana uhakika wa kukila tena basi anabugia chakula kingi tumboni na hatimaye kinamchachia huko tumboni anaanza kuharisha
Nyama robo kawalisha watoto mzoga lazima wakashikilie ukuta chooni..Kuna ukweli kuwa unaweza kuvimbiwa na kuharisha kwa kula chakula kizuri kwa kuwa tumbo halijazoea kuchakata chakula hicho japo kuna sababu zingine huwa zipo kwa mtu kuharisha kama kula chakula kichafu chenye vimelea vya magonjwa na sumu
Ni kweli kabisaa.Nadhani kwa sababu unakuta digestion system haijazoea aina hiyo ya chakula hasa kama chakula kina viungo vikali, mafuta mengi, hapo inatokea kuharisha, gesi, au tumbo kujaa
Wangepata kilo huu uzi ungejawa na herufi tatu nyingi saana.Nyama robo imeleta shida..
Mkuu, nyama robo familia inavimbiwa vipi??? Tatizo mpishi tu, hata huo uozo wa nyama hauusiki. muulize alipikaje hyo nyama. Utakuta aliikatia nyanya kama anaunga dagaa.. inatakiwa asirudie tena huo mchezo.. bora akanunue mishkaki next time. ataua watoto.HII HAPA SABABU WATU WANAOOSHI MAISHA MAGUMU WAKIINGIA KWENYE SHEREHE BURE HUWA WANAPENDA KULA SANA UTAKUTA MTU ANAKULA SAHANI MBILI JALALA HATA VITOTO, LAZIMA UVIMBIWE NA KUHARA.
KWAHIYO WATOTO WALIVIMBIWA KWA UROHO NA KUHARA NA SI CHAKULA KIPYA HUU NI UONGO KABISA OTHERWISE LABDA NYAMA ILIYONUNULIWA ILIKUWA IMEOZA HAKUNA SABABU ZAIDI YA HIZI.