Hivi ni kweli mtu akila chakula kizuri tofauti na mlo aliouzoea atapata shida ya tumbo?

kuna mafundi ujenzi niliwanunulia msosi na maji ya jambo nikashangaa fundi mmoja hataki maji ya jambo akaagiza msaidizi wake aka download

yule fundi alishukuru ila akasema yeye akinywa maji ya chupa lazima aende kulazwa yaani tumbo lake limezoea maji ya bomba.
 
Nadhani kwa sababu unakuta digestion system haijazoea aina hiyo ya chakula hasa kama chakula kina viungo vikali, mafuta mengi, hapo inatokea kuharisha, gesi, au tumbo kujaa
Niongezee tu hapo, akisema chakula kizuri yeye kwa mtazamo wake humaanisha nini isiwe ni uzuri tu wa macho na wakuaminishwa na media/ads kuwa pizza🍕 na hamburger 🍔 ndio vyakula vizuri binafsi sijavielewa kabisa na kiafya havina tija sana. Anyway ngoja niendelee kupiga machalari kwa kwenda mbelee
 
Sahihi 💯
 
Back
Top Bottom