Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

Kuna wahindi wapo morogoro mjini kwenye maghorofa ya mjini huko juu juu wanaishi kwa betting, hawana shughuli nyingine...zaidi utawaona kwenye kahawa na madrafti hapo masika karibu na crdb bank...😀. Nawajua kama wawili wanaishi kwa betting...wao kuweka milioni kwa odd ya 1.2 hawaoni shida yaani😆. Kupanga ni kuchagua....fikiria wametoka India kuja kuishi Tanzania halafu wamepanga nyumba za NHC hapo mjini...na kazi yao ni kuweka mkeka na kutulia tu
 
Huyo imam Ali katokea wqaapi?? Katika uisalam hakuna alie m bora kuliko mtume wetu Muhamamad A.S.
 
Jichanganye nawewe uweke wenzio hiyo nistarehe yao wana mambo mengine
 
Betting ni ajira ukiifanya kitajiri (uwe na mtaji mkubwa)
 
Kubeti sio kazi. Nistsrehe ukitaka kujua sio kazi unaweza kupata hata milion 60 na ukairudisha ndani ya muda mfupi tu. Ndio maana wewe ukishinda hawaoni shida kukulipa wanajua vile umeshinda utadhani utashinda tena ndio wanakupiga vizuri kwahiyo hamna namna eti utasema unaweka pesa kubwa odds chache . Imagine umeweka 1M ili ushinde 1.5 , kesho unaweka 1M unapoteza yote kiuhalisia imeshabaki na lost ya laki 5
 
Kuna kitu unakitaka..fanya hv kama haujawahi kubeti, tafuta hata 2k tu bet halafu kesho urudi hapa.
Huo ndo ukichaa sasa, unabeti vipi kwa 2k? Betting siyo mchezo wa kimasikini kama mnavyodhani, nchi zilizoendelea wanabeti mastar na matajiri wakubwa na wanaweza mzigo hasa. Kwa buku mbili lazima uichukie betting. Weka milion kwa odds 1.3 uchukue milion na laki tatu, hiyo ndo betting
 
Yaah, ukibet responsible bila tamaa kuingiza 5000 per day ni possible tatizo ni kwa wale waweka mikeka mirefuuu ili kushinda 200m hapo ngumu

Ila ku bet kwa kutafuta pesa ya kula ni rahisi sanaaa sanaa na wapo watu wanaishi maisha Yao kwa MIKEKA wanakula lipa bills na wanaendesha maisha yaoo
 
SATIVA anabet na anatumika na makampuni kushawishi watu wabet kupitia makampuni hayo huku yeye akilipwa commission.

Kiufupi SATIVA anapiga kazi mbili kwenye betting.

1.Anabet kwa kuweka hela zake.
2. Anacheza kama winga wa makampuni ya kubet.

Ukiona mtu yeyote anakuambia jiunge na kampuni fulani weka promo code fulani fahamu kwamba analipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…