Mcheki Tena hapo Chini kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akimuaga mke wake kipenzi Rubab bint Imra Al -Qais kabla ya umauti wake. Yani inatia Simanzi.Akili yako inaokana haiko sawa h
Usini quote kweny ukum@ wako huna akili wewe kichwa ...mkund¿ wakoMcheki Tena hapo Chini kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akimuaga mke wake kipenzi Rubab bint Imra Al -Qais kabla ya umauti wake. Yani inatia Simanzi.
View attachment 3413028
Unazingua...vingine kaa kimyaMkuu ligi ya bongo inawatajilisha mno wattu…..sema wew hujakutana na watu sahihi kwenye betting
Tayari nimeshakuwin kisaikolojia😆😆😆😆😆👆🏿👆🏿👆🏿Usini quote kweny ukum@ wako huna akili wewe kichwa ...mkund¿ wako
Hongereni.. kumbe mlipata na wasaa wa kumpiga picha??!!!!!!Hapana mkuu ila unaweza tu kuendesha maisha yako kwa kumtumaini na kumtegemea mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini kwenye battle of Ashura.
View attachment 3412964View attachment 3412965View attachment 3412966View attachment 3412967
Wee acha tu mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Hongereni.. kumbe mlipata na wasaa wa kumpiga picha??!!!!!!
Sitegemei bettingMbona wewe umeweza.
Hiyo ndio hapana haifaiAVIATOR💔
Betting ilinipa dipresheni siji kurudia tena maishani.Half american naendelea kufuatilia uzi kwa ukaribu zaidi.
Wewe na dipresheni ni sako kwa bako. Zikikukosa unazisaka🤣🤣🤣Betting ilinipa dipresheni siji kurudia tena maishani.
Kuna watu wanafanya professional betting. Anaweka mechi tatu mpaka nne, anatia 50,000 na kuendelea.Nataka kujua mtu anaweza kuishi kwa kubeti tu?
Ukikutana na wale magwiji jibu ni ndiyo... japo niseme kwa Tanzania sidhani kama wako. Kuna watu wanatumia software special kufanya analysis na wanatumia mikakati mingi sana. Vingenevyo: swali lako ni rahisi sana kujua jibu lake kama ukidhamiria. Kwa vipi? Tenga fedha eg sh milioni 50, kichwani mwako. Yes, fikiria kama una sh milioni 50 japo huna. Anza kubet kinadharia kama vile una bet fedha za kweli. Yaani kukiwa na mechi jifanye unabeti kiasi fulani halafu matokeo yakitoka toa au ongeza utakachopata kwenye betting yako ya nadharia. Ni muhimu sana uwe na nidhamu na ufanye kama unabet kikweli na usibet kila siku. Bet zile siku ambazo una uhakika kwa asilimia kubwa kuwa utashinda na andika kabisa mahesabu yako kwenye daftari kama unafanya jambo la kweli. Baada ya eg miezi sita au mwaka, angalia, utakuwa umepata au kupoteza kiasi gani?Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?
Huyo ni mkristo Si muislamu anafanya dhihaka tuHongereni.. kumbe mlipata na wasaa wa kumpiga picha??!!!!!!
Siri moja ya ku bet ni kutokuwa na tamaa na kuto bet ili ufidie ulichopoteza jana. Kama umeamua, tenga eg elfu 50 kwa mwezi, bet kidogo kidogo bila tamaa. Bora upate kidogo kidogo kuliko nyingi.Kuna watu wanafanya professional betting. Anaweka mechi tatu mpaka nne, anatia 50,000 na kuendelea.
Hasuki mkeka wa buku ili apige mamilioni.
Huyo ni muongo, atakuwa yuko funded na mashirika ya huko kwa mabeberu then kubeti ni kama kichaka tuNataka kujua mtu anaweza kuishi kwa kubeti tu?
Huyo ni mkristo Si muislamu anafanya dhihaka tu