Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

Kuna dogo namfahamu amemjengea Mama yake nyumba Tanga na yeye kajenga mbagala kwasababu ya betting, kwasababu yeye kwao ni waislam, hakuna anayejua, wanadhani ni kazi yake kwenye kampuni ya Muhindi 😀,ila dogo anafuatilia hadi bingwa wa Tajikistan, Jamaica au nchi yoyote ambayo wewe hujawahi ifikiria..... anaweza kukupa top five.......
Kuna league huko asian, league za chinichini kuna timu huwa zinashindaga tu.....hii ni kweli kabisa
 
Kuna dogo namfahamu amemjengea Mama yake nyumba Tanga na yeye kajenga mbagala kwasababu ya betting, kwasababu yeye kwao ni waislam, hakuna anayejua, wanadhani ni kazi yake kwenye kampuni ya Muhindi 😀,ila dogo anafuatilia hadi bingwa wa Tajikistan, Jamaica au nchi yoyote ambayo wewe hujawahi ifikiria..... anaweza kukupa top five.......
Hizi ni Hadithi mkuu

Ubashiri sio timu kuwa bingwa bali ni Odds
Odds za mabingwa unazijua wewe? Msimu mzima odd nzuri za Yanga zilikua dhidi ya Simba na Azam kidogo
 
Odds unazipataje kama hujui matokeo ya league mbalimbali?
 
Mkuu flagyl yule dogo kazi anayoifanya acha tu afanye betting Kama moja ya kuingiza kipato,maana hata timu iliyoshuka daraja Iraq anaijua
Sasa kama ndio kama kazi yake,, lazima ajue timu zote duniani in and out......ni kama kazi yoyote ukiifanya kwa mda mrefu unakuwa expert hakuna mtu anaweza kukudanganya chochote,,So nakubaliana na ww
 
Bingwa wa Takjistani anayeshinda game zake kwa 90% odd zake zitakua zinacheza kwenye 1.07 kama unavyoona Odd za Yanga dhidi ya Polisi Kagera, Reli nk nk
Mtu anatafuta odd 2 tu anatia pesa ndefu kamaliza shughuli.....cha msingi apate timu mbili au tatu za uhakika,
 
Mkuu flagyl yule dogo kazi anayoifanya acha tu afanye betting Kama moja ya kuingiza kipato,maana hata timu iliyoshuka daraja Iraq anaijua
Hivi mnaposema “anazijua” timu huwa mnamaanisha nini?

Kwani kuzijua timu ndio guarantee ya kujua matokeo

Hata ukiijua Yanga itashinda game zake zote bado sio kigezo cha kupiga hela kwasababu odds zitakuwa against mtaji wako siku akitoa tu draw
 
Hivi unajua msimu huu iliyoisha kuna kipindi Yanga mechi zake za NBC zilikuwa haziwekwi kwenye ratiba za makampuni ya betting mengi, unajua ni kwa sbb gani????.....simple makampuni yalikuwa yanaliwa sana coz mtu anaweka mzigo mrefu sanaa alafu booom!! Anapiga pesa
 
Mkuu umewahi kubeti?

hakuna kitu kinaitwa unatafuta…. Kuna kubahatisha tu. No guarantee
Nikuulize.....kwa mfano lets say; msimu huu nimeamua kutenga 100m kubetia Yanga na Simba strategically kwenye mechi za ndani tu.....unahisi mpaka msimu kuisha nitatoka kapa??.....no lazima nitoke na pesa ndefu tuu.....sijakataa kuchanika mkeka kupo kama loss kwenye biashara nyingine yyte
 
Hivi unajua msimu huu iliyoisha kuna kipindi Yanga mechi zake za NBC zilikuwa haziwekwi kwenye ratiba za makampuni ya betting mengi, unajua ni kwa sbb gani????.....simple makampuni yalikuwa yanaliwa sana coz mtu anaweka mzigo mrefu sanaa alafu booom!! Anapiga pesa
Kumbe unajua mkuu

Kampuni za betting kwanza kabisa haziweki ligi dhaifu na wakiziweka basi wana limit stake

Timu inayoshinda kila game haiwezi kukupa hela kwasababu odd zake zitakua ndogo mmno 1.05…. Uta stake sh ngapi upige hela?

Kampuni za betting sio wajinga odd nzuri utazipa kwenye game ngumu kutabiri matokeo, game rahisi wanafinya odd

Hapa Bongo weekend ulikua ukichukua Simba Yanga na Azam Win odd hazifiki hata 1.5
Lakini Polisi Vs Namungu Odd 2.3 kwa odd 2.1
 
Mtu anatafuta 1.5 anaweka mzigo mrefu mfano 30M hapo anatafuta 1M per Day, kwa wiki 7M kwa mwezi 30M+.......mwenzako huyo?.........sema kitu kibaya ni ile tamaa tu ya kutaka kupata zaidi,, ila ukiweza kuBet kinidhamu inawezekana ni mahesabu tu
 
Mkuu nimebet sana sana najua ninachokwambia

Kwenye betting kuna KUBAHATISHA tu
Hakuna odd ndogo za UHAKIKA…… HAZIPO

Unavyoa andika “mtu anatafua odd zake 1.5 anatia mzigo” ni as if ni guarantee

Kwanini uandikie mate wakati wino upo mkuu
Wewe hutaki hizo hela za bure bure kwenye betting kwa kuanza kuijua ligi ya bongo ukapiga hayo mahela?

Fainali na Chelsea Nilimuomba PSG goli moja tu Odd 1.2 laki yangu ikapotea kama upepo vile
Yaani sio washinde, wapate goli tu lakini kilichotokea sasa
 
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.

Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.

Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.

NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?
Hujasema, anabeti tu au anaendesha biashara ya betting?
Yaani anamiliki Bet shop?
 
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.

Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.

Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.

NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?
@sativa17 @kayombotip Ser Kamotee JITU BANDIA Lwiva n.k

Njooni mjibu swali la mwana ccm mwenzenu
 
Kwanza sio risasi ivi unaijua risasi ya kichwa wewe kenge? Acha kuamini Vichaa Fanya kazi kwa bidii achana na Kamari,Ulevi Uraibu mmoja unazaa uraibu mwingine ni rahisi Mlevi kuwa Malaya na Mvuta bangi kuwa Mlevi au Mlevi kuwa Mkamaria yule Fupi nyundo anawajaza ujinga sana na nyie mlivyo vichwa maji mnajaa kwenye Mfumo Shenzi type
 
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.

Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.

Sasa nimetafakari, hivi ni kweli hii? mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.

NB😛 pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ), so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji?
Mbona wengi tu mpaka madingii kabisa!
Kwa sasa ajira hakuna hivyo watu wengi wasio na ajila rasmi wala biashara wameamua kuishi kwa betting ukitaka kuamini nnachokisema tenga muda tembelea vijiwe vya betting japo kwa siku tatu tu utaona kuna watu hushinda hapo kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni na akirudi nyumbani watoto wanajua baba katoka kazini
 
Back
Top Bottom