Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Natoa mada,vipi mtazamo wako kuhusu hiliUnatuuliza swali au unatoa taarifa?
Upo upande wa wazunguAisee ila kweli ni mashetani
Uko fact mkuuKwenye Uislamu ,Waarabu walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao,vyakula ,vyao,majina yao na tamaduni zao kiujumla
Kwenye Ukristo Wayahudi walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao na hasa Ukristo ulivyoenea Ulaya,vyakula vyao,majina yao na tamaduni zao
Kwa kuwa waliandika vitu vilivyoaazunguka hivyo sishangai,kwani kule kwao hakuna mtu mweusi
Ulivyoandika "uko fact" maana yake ni nini?Uko fact mkuu
Tunaongelea kuhusu mtazamo wa rangi kwenye uhalisia,acha kulewa una kuja comment hapa na stress zako nonsenseFikra zako tu.Acha kutumia mikorogo ya Jaribu,Mekako na mawese yaliyochemka.
Typing........Ulivyoandika "uko fact" maana yake ni nini?
Jibu maswali kenge maji wewe.Uko fact ndiyo nini?Utopolo wewe!Tunaongelea kuhusu mtazamo wa rangi kwenye uhalisia,acha kulewa una kuja comment hapa na stress zako nonsense
ππππππJibu maswali kenge maji wewe.Uko fact ndiyo nini?Utopolo wewe!
Typing?Ndiyo nini?Typing........
to be honest rangi zote ni nzuriRangi nyeupe na Rangi nyeusi nzuri yepi
Acha kuandika kama umetoka Kigoma,wilaya ya Kibondo,kijiji cha Kumshindwi.Andika hivi:To be honest,rangi zake ni nzuri.to be honest rangi zote nzuri