Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
- #21
Niandae hela ya Ada sh ngapi mwalimuAcha kuandika kama umetoka Kigoma,wilaya ya Kibondo,kijiji cha Kumshindwi.Andika hivi:To be honest,rangi zake ni nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niandae hela ya Ada sh ngapi mwalimuAcha kuandika kama umetoka Kigoma,wilaya ya Kibondo,kijiji cha Kumshindwi.Andika hivi:To be honest,rangi zake ni nzuri.
Utakuwa unanichotea maji mtoni ndoo kumi kwa kila sub-topic!Niandae hela ya Ada sh ngapi mwalimu
Tunaanza lini darasa mwalimuUtakuwa unanichotea maji mtoni ndoo kumi kwa kila sub-topic!
Ndiyo tumeshaanza hivyo.Sasa,ole wako ulete kiheremswede darasani.Tunaanza lini darasa mwalimu
Achana na wazungu washenzi wale ndio maana iliandikwa usijifanyie picha wala masanamu kwa mfanano wa yaliyopo Mbinguni.Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe...
( wazungu)...
Hongera mkuu tunahitaji member like you una jibu kitu kwa hoja be blessed najifunza hapa 🙌🙌👆Achana na wazungu washenzi wale ndio maana iliandikwa usijifanyie picha wala masanamu kwa mfanano wa yaliyopo Mbinguni...
Punguza hisiato be honest rangi zote ni nzuri
Nipunguze mpaka ngapi mkuuPunguza hisia
Ila hizi dini Zina ubaguziHizo picha ni vitu vya kufikirika tu hakuna aliyewaona na kuwapiga picha.
Waliotuletea Dini walitukia fikra za kikoloni
Nashukuru kaka🙏, maana utumwa ulituharibu, dini nazo zikatugawanya, ujinga umetucontrol na tukitaka kuujua ukweli tunaogopa 💔Hongera mkuu tunahitaji member like you una jibu kitu kwa hoja be blessed najifunza hapa 🙌🙌👆
Nimekumbuka wimbo wa Nakomitunakana.Sikiliza wimbo huu,kama hujui tafsiri yake sema nitakutafsiria
Hakuna cha facts wayahudi hawataki kushare tamaduni zao na watu wengine ndo maana dini ya uyahudi ni ya siku nyingi sana ila waumin wake hawafiki hata million 50 In short wayahudi hawataki watu kwenye dini yao ambayo sio wayahudi ni tofauti na wakristo na waislamuUko fact mkuu
Hakuna cha facts wayahudi hawataki kushare tamaduni zao na watu wengine ndo maana dini ya uyahudi ni ya siku nyingi sana ila waumin wake hawafiki hata million 50 In short wayahudi hawataki watu kwenye dini yao ambayo sio wayahudi ni tofauti na wakristo na waislamuKwenye Uislamu ,Waarabu walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao, vyakula, vyao, majina yao na tamaduni zao kiujumla
Kwenye Ukristo Wayahudi walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao na hasa Ukristo ulivyoenea Ulaya, vyakula vyao, majina yao na tamaduni zao
Kwa kuwa waliandika vitu vilivyoaazunguka hivyo sishangai,kwani kule kwao hakuna mtu mweusi.