Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

Nchi imevamiwa teh teh teh!!!!. Nikicheki hii barabara ya kwetu aki ata siamini kama ni Ile ilokuwa inamelemeta enzi zile za mwenda zake.... Ngoja tusubr marekebisho.
 
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.

Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.

Tunaomba wafike saiti waangalie.
Hamia Musa Hasani,(mchachani/msasani)Kuna barabara ya kupitia baharini hakuna foleni hakuna adha.
 
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.

Injinia WA mkoa,wilaya as if wao wanaishi mbinguni,hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.

Tunaomba wafike saiti waangalie.
 
Hivi wabunge tulio wachagua,NI ili wapatw posho za Binge au kutusaidia sie WANANCHI tulio wachagua?
 
Ule ujenzi kweli ni wa "hovio" mimi pia nimeona.
 
Kama kandarasi kapewa mswahili hesabu miaka mingine kumi, hii barabara inasumbua eneo la keko hadi magomeni magari yanapita kwa shida na barabara haionyeshi uelekeo wa lini itaisha...........na hizi mvua hali ni mbaya zaidi.
 
Ila hata ile fly over mbona kama inajengwa ka yale maghala ya asili
 
Nchi imevamiwa teh teh teh!!!!. Nikicheki hii barabara ya kwetu aki ata siamini kama ni Ile ilokuwa inamelemeta enzi zile za mwenda zake.... Ngoja tusubr marekebisho.
Ipi hiyo mkuu usaidiwe?
 
Back
Top Bottom