Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.

Injinia WA mkoa,wilaya as if wao wanaishi mbinguni,hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.

Tunaomba wafike saiti waangalie.
Hovio=hovyo
 
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.

Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.

Tunaomba wafike saiti waangalie.

Hivyo ndivyo urefu wa kamba zao unavyoruhusu. Kama vipi pambana na Hangaya; arekebishe sera kwanza!
 
Mkuu sio wote tuliomo JF ni wakazi wa huko au watumiaji wa barabara.

Acha pupa. Tulia elezea tatizo nini vinginevyo utakuwa unasambaza umbea tu
Tatizo ndio kama alivyoeleza , wachina wameishika awamu hii haipumui .
 
Mkandarasi atazamwe, nakumbuka baadhi ya miradi walikuwa wanapewa jeshi kwa sababu hawana vusingizio singizio.yaani mkandarasi anafumua kipande kirefu na temporal ameweka kigusi cha rojorojo na ma#himo tu.da
Barabara za mjini hawazitendei haki, ila naona mkandarasi anafanya hivyo ili TUPIGE KELELE.
 
Mkuu wa mkoa, wilaya au mbunge wa sehemu hiyo hata kama sio wao waliotoa tenda wana uwezo wa kuhoji na kuweka formal complaints , wako wapi au hawapitagi hapo? hata madiwani wa halmashauri wana uwezo wa kupigia kelele wakasikilizwa na waliotoa tenda maana barabara inawahusu watu wao moja kwa moja, watu hawafanyi kazi zao inaonekana
 
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.

Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.

Tunaomba wafike saiti waangalie.
Kwa kweli hawa Wachina wanatukosea sana, unawezaje kufunga barabara kuu mbili kwa wakati mmoja, port access(makutano ya uhasibu) na chang'ombe veta, magari yanakaa masaa mengi bila kupita, shughuli za kiuchumi zinakwama,mafuta yanatumika n.k. na Waziri hasemi chochote na hiyo ndio barabara ya uchumi inaaffect bandari,airport na shughuli za kiuchumi kwenda na kutoka mjini.
 
Pima kiongozi kwa kuangalia mambo anayotilia kipaumbele, siyo yale anayosema. Sinema hiyo isingekuwakipuembele cha rais kutumia muda wake karibu wiki mbili kushoot, na karibu wiki tatu za matamasha ya uzinduzi.
 
Kweli kaisi chake
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
huu uzi ni mwendo wa kuchapia hovio hovio tu
emoji28.png
emoji28.png
🤣🤣🤣
Thanks ila nimefikisha ujumbe kaka
unachapia hadi jinsia yangu jamani.
 
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.

Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.

Tunaomba wafike saiti waangalie.
Mradi wa barabara ya mwendikasi phase 1 ulijengwa na Kampuni ya Ulaya ya Strabag sasa kuna viongozi wa mchongomchongi wakachungulia ule ujenzi waka conclude kumbe ni rahisi tu hata sisi tunaweza kujenga ngoja nimpe tenda mjomba ndio kinachotokea hapo..Tenda imepewa kampuni local kwa malipo ya asilimia 10 ya gharama za mradi
 
Ndo ninachokiona hapo, hii nchi ina mambo ya hovyo sana........hadi atokee magufuli mwingine mambo yatarudi kulekule...
 
Back
Top Bottom