Hovio=hovyoNashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa,wilaya as if wao wanaishi mbinguni,hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Kweli ni hovio[emoji1787][emoji1787]Ule ujenzi kweli ni wa "hovio" mimi pia nimeona.
Kweli kaisi chake[emoji16][emoji16][emoji16]huu uzi ni mwendo wa kuchapia hovio hovio tu[emoji28][emoji28]muandiko wako nii hatarishi kaisi chake.
Waziri wa hovioEngineer wa hovio, mkandarasi wa hovio na kila kitu chya hovio
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Tatizo ndio kama alivyoeleza , wachina wameishika awamu hii haipumui .Mkuu sio wote tuliomo JF ni wakazi wa huko au watumiaji wa barabara.
Acha pupa. Tulia elezea tatizo nini vinginevyo utakuwa unasambaza umbea tu
Yeye anadhani kila aliyoko humu anaishi Mbagala maji machafu, anapanda daladala kupitia dirishani.Mkuu sio wote tuliomo JF ni wakazi wa huko au watumiaji wa barabara.
Acha pupa. Tulia elezea tatizo nini vinginevyo utakuwa unasambaza umbea tu
Kwa kweli hawa Wachina wanatukosea sana, unawezaje kufunga barabara kuu mbili kwa wakati mmoja, port access(makutano ya uhasibu) na chang'ombe veta, magari yanakaa masaa mengi bila kupita, shughuli za kiuchumi zinakwama,mafuta yanatumika n.k. na Waziri hasemi chochote na hiyo ndio barabara ya uchumi inaaffect bandari,airport na shughuli za kiuchumi kwenda na kutoka mjini.Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Ni wapi ameeleza hivyo?Tatizo ndio kama alivyoeleza , wachina wameishika awamu hii haipumui .
🤣🤣🤣Kweli kaisi chakehuu uzi ni mwendo wa kuchapia hovio hovio tu
unachapia hadi jinsia yangu jamani.Thanks ila nimefikisha ujumbe kaka
Mradi wa barabara ya mwendikasi phase 1 ulijengwa na Kampuni ya Ulaya ya Strabag sasa kuna viongozi wa mchongomchongi wakachungulia ule ujenzi waka conclude kumbe ni rahisi tu hata sisi tunaweza kujenga ngoja nimpe tenda mjomba ndio kinachotokea hapo..Tenda imepewa kampuni local kwa malipo ya asilimia 10 ya gharama za mradiNashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Ndo ninachokiona hapo, hii nchi ina mambo ya hovyo sana........hadi atokee magufuli mwingine mambo yatarudi kulekule...Mradi wa barabara ya mwendikasi phase 1 ulijengwa na Kampuni ya Ulaya ya Strabag sasa kuna viongozi wa mchongomchongi wakachungulia ule ujenzi waka conclude kumbe ni rahisi tu hata sisi tunaweza kujenga ngoja nimpe tenda mjomba ndio kinachotokea hapo..Tenda imepewa kampuni local kwa malipo ya asilimia 10 ya gharama za mradi
Leo hadi nemeona tabasamu lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
unachapia hadi jinsia yangu jamani.
Hovio ni wapi?hovio.
kabisa yaaniLeo hadi nemeona tabasamu lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Linaoza na funzs mdomoniMliofanya sherehé kwa kifo Cha JPM mnalialia Sasa
USSR