Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Jana niliongea kidogo na Financial Analyst wa NMB kwa uchache sana akanieleza kuhusu Mfumo wao unaoitwa Credit Reference Bureau (CRB)Weeee kopa tu..... kisha sepa zako
Embu jaribu tuone itakuwajeHabari Jf?
naomba tufahamishane kuhusu hili suala?
mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana.
Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda kukopa huko waone kwamba niliwahi kopa kwingine na nikashindwa kulipa?
Je, sitakopesheka tena maisha yote hata kama nina Dhamana nyingine?
Shukran sana. Umeeleweka sana mkuuKila bank inajitegemea. Itategemea makato yatafanyikia wapi, kama kwenye mshahara ambao utakatwa moja kwa moja hakuna shida; au dhamana utakayowapatia na wao kujiridhisha pale ambapo utashindwa kulipa wanaweza kuitaifisha.
Siyo kweli.Habari Jf?
naomba tufahamishane kuhusu hili suala?
mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana.
Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda kukopa huko waone kwamba niliwahi kopa kwingine na nikashindwa kulipa?
Je, sitakopesheka tena maisha yote hata kama nina Dhamana nyingine?
Nashukuru kwa maswali yako na mimi nina maswali kama haya hayaCRB(credit reference Bureau) wadau miaka ya nyuma waliipigia kelele ikanzishwa...hapa Kati kumekuwa na ukimya kuhusu utendaji wake...it's work or not? Na Kama iko active inafanya kazi..?...ukomo wa mtu kuhesabika ni defaulter anadumu muda gani kwenye system Yao? Wenye majibu please
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app