B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Huyu dada muongo.Hapa mtu atapigwa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada muongo.Hapa mtu atapigwa hapa
Huenda anaingiza,kuna watu nawajua wanafanya online business kwa siku wanalala na 23M to 60M so kutengnz hy 400M kwao ni simple TuWeka picha acha porojo ww
M400 ?? Tena online ??? Tena tangu la saba ?? Kwa haraka labda umemaliza lasaba muhula wa pili wa J.kikwete maana apo ndo internet ilianza kushika kwa kasi uku bongo
Enewei atuwezi kujaji kitabu by its cover unaweza kutueleza kwa ufuti uljkita na nini online blogger,,gambler,,brockchain,freelencer,,affiliator au kipi asa kilikuingizia zaidi ya Mil 400 mkuu
Off topic,Mbn mm nshatapeliwa sana na kuniletea vitu ambavyo havifai ten hao wachina mnaowashangaa ubungo
Kun watu 😴!!Huenda anaingiza,kuna watu nawajua wanafanya online business kwa siku wanalala na 23M to 60M so kutengnz hy 400M kwao ni simple Tu
Pole kwa kutapeliwa,Mbn mm nshatapeliwa sana na kuniletea vitu ambavyo havifai ten hao wachina mnaowashangaa ubungo
Kama ni maduka ya nguo kkoo hapo kidogo nimekuelewa... Unajua tatizo ni kwamba, wengi ambao washatoboa wanasema wamesoma hadi sehemu fulani lakini wakati huo huo wanakuambia hawaamini katika elimu! Sasa inakuwa inachanganya kwasababu naona kama vile kusoma hadi 4m4 ni safi kabisa, maana kuna mazimba wengi tu wameishia grade 7... Haha!Hahahahahahaa mkuuu mimi kwasasa ni mfanyabiashara wa nguo za kiume na vitenge kkooo
namaduka yangu na kuhusu kusoma mpaka latatu nahisi nsingeweza kusimamia biashara zangu maaan hata kuzidisha kungenishinda
Am still in the learning curve mkuu na nimeanza taratibu sababu piah Leo ili u earn more unahitaji total commitment yaan 24hrs hours and sio part timeKun watu [emoji42]!!
Online business gani?
Mbona wewe hujashawishika kufanya?
Wanatapeliwa sana siku yao ikifika. Wangapi wameibiwa BTC za thamani kubwa kwa links na hacking wakati wao ni pioneers wa coins.Pole kwa kutapeliwa,
Online hustler sio rahisi kutapeliwa.
Utapeli umeuona kwenye BTC tu,Wanatapeliwa sana siku yao ikifika. Wangapi wameibiwa BTC za thamani kubwa kwa links na hacking wakati wao ni pioneers wa coins.
Ni biashara gani!Am still in the learning curve mkuu na nimeanza taratibu sababu piah Leo ili u earn more unahitaji total commitment yaan 24hrs hours and sio part time
Njoo nikuuzie kiwanja kwa laki 7.Sio uongoo
Hapana kipo,Tayar ninanyumbaa alf hicho kiwanja cha 70k sio kiwanja cha njia za mitaa kweli
Hatari sana! Ila yote yanawezekana, ni juhudi tu aiseMimi mbn nnarafiki yangu kaishia la 5 boss anadrive range hao waliofika form six wananini haswa na elimu ya mkoloni
Bank ya masikini ni tumbo lakeTumbo ndo umaskini no 1
Kuna chembe chembe za uongo hapa. Hii ni adithi ya sungura na fisi.Kwa muda sasa natafakari kuhusu umaskini wa mtu mpaka kufikia mda mtu anashindwa kutekeleza baadhi ya mambo.
Yote ya yote umaskini ni naouona kama ulemavu wa akili kwani unashindwa kujituma na kujikomboa binafsi huu ni ugonjwa wa watu wa Afrika na kupenda shortcut way kijana unabidi upambane hata kwa biashara ndogo ndogo kwa kweli nashauri online earning kwa vijana hasa wanaosoma na wasio na ajira yapo makampuni mbalimbali ambayo yanatoa malipo kwa kuifanyia kazi kampuni hiyo
Tengeneza simple but cute blog weka ads anza kuvuna.
Youtube vijana mnakesha kuangalia udaku na porn ila hamjawaza kama inaweza kuwa fedha fungua channel weka video vuna pesa kwa mimi binafsi mapenda programming so naona kidogo inapesa ila ndugu zangu mimi kama mimi nilianza online earning tangu nipo darasa la saba sasa ninamalizi zangu si chini ya 400M na mimi sijasoma sana nimeishia 4m4 tu ndoomaan siamini katika elimu tafuta pesa hutakuja jutia sio kukesha fb kupost magari ya watu wewe mwenyewe miaka 30 unakula na kulala kwa mama ni ulemavu huo anzisha biashara asikwambie mtu biashara ina pesa hata kuliko kuajiliwa wakuuu nimewasilishaaaa.
Special thanks kwa jf maaan saiv watu wasingepata ujumbe huuu kirahisi kam humu.