Hivi ni kweli umasikini ni kurithi au ni kujiendekeza?

Hivi ni kweli umasikini ni kurithi au ni kujiendekeza?

TUPATE BURUDANI KIDOGO.

Mama maria ria ria aaah
Mama maria ria ria aaah
Mama Maria (Maria Maria)
Eeeh

Mungu tazama ninavyo sujudu
Nalia kwa uchungu hukunatubu (amen)
Nifanye ayubu
Niyashinde majaribu
Kama tunda la utakaso
Kuu ya mti wa mzabibu
Najiona mkuu katika kundi la wafu
Japo nili funzwa juzu nika maliza msahafu
Injili ya watakatifu inasema ombeni mtapewa
Mi naabudu nakusifu unitoe shimo la tewa
(Mbona hunipi)

Kwetu mi ndo tegemezi nguzo tulio egemea ulisha idondosha mwenyezi
Ona jicho la familia lanitazama kama mzazi
Sina kazi kila ndugu alio nizunguka ana maradhi
Mungu huyu mwacheni atawale roho
Vinginevyo juu ya mbuyu nsingeitwa mwanakondoo

Maana nikiongea sana ntakufuru nisamehe
Kama Zakayo mtoza ushuru (Mungu eeh)
Niwe mkristo wa kweli nchi ya ahadi
Nisadiki damu ya msalaba sio waganga wa jadi (eeh Mungu)

Tambua Mungu yupo mmoja nasi tumwombe
Kumbuka ndo alotupa uhai tunaishi kwa neema yake
Mungu yupo oh (mi nafunga na kusali niwe tayari nakaza roho)
Mungu yupo oh (nimekata tamaa nipeni mchungaji mwanakondoo)

Tunaamini we mtakatifu ndo kimbilio
Mataifa hukusifu kwa dufu na mapambio
Wasamehe dhambi ya rithi
Wasisage meno vilio
Karibu kwenye kaswida hatuna kiingilio
Wenye utajiri wana dhambi na
Unawabariki masikini kama mimi nasali nafa na dhiki
Nipe moyo wa kusadiki mpaka mwisho wa pumzi yetu
Nani kwa kizazi hiki amewahi kumuona Yesu (amen)
Hivi nikifa ninaenda wapi?
Je toba za mahayati ni kama twakudhihaki?
Lakini ni kama vyama vinatuendesha
Wapo waloabudu miti wakaomba mvua na ikanyesha
Sembuse mi mkatoliki eti naabudu sanam
Hamuoni wanaoabudu ngombe
Wale sio wanadamu?
Wanaamini Mungu gani wanaojiita boko haram (Inn Allah M'a Al Saabreen)
Namngoja mwana wa Adam
Najiona simba wa Yuda juu ya nyika za mbali
Na mchungaji ndo shuhuda ananiona nikisali (Mungu eeh)
Naikemea roho ya husuda isinijie ilhali
Muda unakwenda na sioni afadhali (eeh Mungu)

Tambua Mungu yupo mmoja nasi tumwombe
Kumbuka ndo alotupa uhai tunaishi kwa neema yake
Mungu yupo oh (mi nafunga nakusali niwe tayari nakaza roho)
Mungu yupo oh (nimekata tamaa nipeni mchungaji mwanakondoo)

Ufupi nilonao nimeridhika na sijuti
Wengi wananiita Zakayo japo siishi juu ya mti
Jamilah anauza kona na ngwengwe wanamuita mlupo
Hajafa bado amepona ama kweli Mungu upo
Mafunzo ya ekaristi yalifanya nisiupende msuba
Na bado kila rafiki ulienipa ana moyo wa yuda
Kwenye ajari na maradhi naamini Israel yupo
Ulipomtoaga mama mzazi nlisemaga Mungu haupo (Amen).
Nmeacha mihadarati na viroba shetani
Hana nafasi na kwako natangaza ushuhuda
Ndio imeandikwa kila nafsi itaonja mauti
Siamini siku ikifika ntakufa ntavishwa suti
Nlishawahi kukaba kuiba mpaka kuzini
Bado ukanisamehe mara saba saba saba sabini
Kwa jina la baba na roho mtakatifu
Inshaalah zote ni ibada kwa pamoj twakusifu

Tambua Mungu yupo mmoja nasi tumwombe
Kumbuka ndo alotupa uhai tunaishi kwa neema yake
Mungu yupo oh (yupo nasi)
Mungu yupo oh (yupo nasi)

Tongwe records
 
Nasubili summary
Hizi Ni lyrics za wimbo wa roma mkatoliki-Mwanakondoo
 
Kwasasa nmebase kwenye biashara ila tangu nina miaka 13 mpaka now 22 miaka kumii ila bado inanisaidia katika biashara zangu.
Ulikuw unashughulika na skills gan haswa zilizo kupa mpunga wote huo mkuu?
 
Back
Top Bottom