Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Huko juu ulianza vizuriiii, lakini ulipofika chini chini huku ukaharibuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi siamini hili, lakini neno langu siyo sheria, nawaachia wanaoweza amini hiliKwasasa nmebase kwenye biashara ila tangu nina miaka 13 mpaka now 22 miaka kumii ila bado inanisaidia katika biashara zangu.
Programming na issue za hardware maintenance ni vitu tofauti mkuu, chagua upande japo waweza sukuma vyote lakini binafsi sikushauri hivyoMkuu, nimefuatlia na kuelewa vizuri. Naomba nifundishe programming, nawezaje kuwa mtaalamu wa hizo vitu. Am interested on PCs issues like designing and hardware maintenance, please give me ABCs
Maelezo yako ni kama swala la Covid nchini Tz, kuelewa lipi ni lipi ni kazi sanaKua mwelewa huko kulinipa uelewa zaidi ila sijasema nimeingiza 400m huko ila mali ninazomiliki ni 400m huko kulinipa pesa baadhi ambayo niliitumia vizuri kuniwezesha kuvuna zaidi ila pia niliingia katika biashara katika umri huo mdogo.
Nacheka Kama mazuri...Ukijiona umepata 10'000/- bila kutarajia halafu ghafla ikakujia hamu ya chips kuku na bia mbili, ujue wewe kwishney kabisa
Sawa mkuu nimekuelewa saiv nianze na hardware.Programming na issue za hardware maintenance ni vitu tofauti mkuu, chagua upande japo waweza sukuma vyote lakini binafsi sikushauri hivyo
Mchango mzuri sana kiongozi,cha kuongeza mtu akifanikiwa tu kidogo anawaona wasiofanikiwa hawana akili au wavivu pasipo kutambua umasikini ni neno pana sanaAsee hebu tujuze biashara inayokupatia 400M na sisi tutusue jama! Suala la umasikini lina mambo mengi ndani yake (ni pana sana) ni kweli umasikini unaweza kuepukika ila sio kila masikini ametaka kuwa masikini, kwasababu kila mtu anapenda mafanikio.
Kwahivyo inategemea, kuna mtu anawezakuwa hana pesa kabisa lakini amezungukwa na vitu ambavyo anaweza kuvifanyia ubunifu na vikampa mafanikio... ila kuna mtu ahana pesa na hana chochote kinachoweza kumtoa, mtu kama huyo asipowezeshwa hatoweza! Ila pia nikukumbushe jambo, unaposema umasikini ni ugonjwa wa watu wa Afrika unakosea sana maana sio Afrika pekee yenye watu masikini..!!!
Kuna nchi masikini ambazo zilizopitiliza na wala hazipo bara la Afrika, kwasababu wewe tayari upo vizuri naamini utakuwa mzuri wa kufanya utafiti wa kiuchumi. Kwahivyo basi, fanya kautafiti kadogo tu ka uchumi wa nchi za hali ya chini kwenye bara la Asia... kisha kAgua tena hapo ulipoandika umasikini ni ugonjwa wa vijana wa Afrika. La mwisho ndugu yangu, tunakuaminije huamini katika elimu wakati umesoma hadi 4M4!!! Angalau ungeishia LA3 hapo tungekuamini [emoji4]
Mkuu kama ni kweli mbona wewe hukushawishika kufanya hio online business?Huenda anaingiza,kuna watu nawajua wanafanya online business kwa siku wanalala na 23M to 60M so kutengnz hy 400M kwao ni simple Tu
Shukran kiongozi. Kweli kabisa, inabidi kuwa na nidhamu maana sio kila masikini amependa kuwa masikini, kwasababu yapo mambo mengi sana yaliyobebwa na hilo jina "umasikini" na pia ni mambo mengi sana yanayoweza kusababisha huo umasikini.Mchango mzuri sana kiongozi,cha kuongeza mtu akifanikiwa tu kidogo anawaona wasiofanikiwa hawana akili au wavivu pasipo kutambua umasikini ni neno pana sana
Sent from my itel A44 using JamiiForums mobile app
Huwaga nakuelewa Sana hakika ndani Yako Kuna vitu potential.....Unaamka asubuhi saa kumi na moja unaenda kazini siku nzima unarudi home na 15,000 au 20,000.
Kuna mwenzio anaamka saa sita mchana anajiandaa anaenda kazini kufikia saa kumi na moja tayari amerudi home ametulia na kaingiza zaidi ya 600,000 na hajachoka kama ulivyochoka wewe wa kuingiza 10k-20k kwa siku.
Utofauti ni misingi ya uwekezaji.
Unalia njaa kuna mwenzio anatumia 200,000 au zaidi kwa siku kama bajeti ya nyumbani.
Usishindane na mtu na elewa watu wanatofautiana, kikubwa weka jitihada katika kujenga misingi imara na kufanya maamuzi sahihi ya wapi uwekeze.
Kuna watu wataona haya niliyoandika chai, endelea ku-hustle bila kujua una hustle kutafuta nini.
SO SADMtoto kurithi tabia ya baba mzembe na mvivu si tear karithishwa umaskini.
Unatuonaje kutudanganyaKwa muda sasa natafakari kuhusu umaskini wa mtu mpaka kufikia mda mtu anashindwa kutekeleza baadhi ya mambo.
Yote ya yote umaskini ni naouona kama ulemavu wa akili kwani unashindwa kujituma na kujikomboa binafsi huu ni ugonjwa wa watu wa Afrika na kupenda shortcut way kijana unabidi upambane hata kwa biashara ndogo ndogo kwa kweli nashauri online earning kwa vijana hasa wanaosoma na wasio na ajira yapo makampuni mbalimbali ambayo yanatoa malipo kwa kuifanyia kazi kampuni hiyo
Tengeneza simple but cute blog weka ads anza kuvuna.
YouTube vijana mnakesha kuangalia udaku na porn ila hamjawaza kama inaweza kuwa fedha fungua channel weka video vuna pesa. Kwa mimi binafsi mapenda programming so naona kidogo ina pesa ila ndugu zangu mimi kama mimi nilianza online earning tangu nipo darasa la saba sasa ninamaliza zangu si chini ya 400M na mimi sijasoma sana nimeishia 4m4 tu ndo maan siamini katika elimu.
Tafuta pesa hutakuja jutia sio kukesha FB kupost magari ya watu wewe mwenyewe miaka 30 unakula na kulala kwa mama ni ulemavu huo anzisha biashara asikwambie mtu biashara ina pesa hata kuliko kuajiliwa wakuuu nimewasilishaaaa.
Special thanks kwa JF maaana saivi watu wasingepata ujumbe huu kirahisi kama humu.
Uzembe wa mtoto kumuiga baba nashangaa, maana mtoto inabidi ujiongeze ufanye namnaWhy joseverest
Huyu jamaa ukichunguza kwa makini unaweza kukuta bado anakula ugali wa shkamooEmpty vessels make the loudest noise - Mwenye kuelewa ataelewa (kwa hisani ya 400M)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa tapeli mpumbavuAnayetaka kucheza darts kizani ajaribu hapa.
Jf kwenye ubora wake,kila mmoja ana gari na yumba hakuna maskini JFKwa muda sasa natafakari kuhusu umaskini wa mtu mpaka kufikia mda mtu anashindwa kutekeleza baadhi ya mambo.