Hivi ni kweli umasikini ni kurithi au ni kujiendekeza?

Huenda anaingiza,kuna watu nawajua wanafanya online business kwa siku wanalala na 23M to 60M so kutengnz hy 400M kwao ni simple Tu
 
Hahahahahahaa mkuuu mimi kwasasa ni mfanyabiashara wa nguo za kiume na vitenge kkooo
namaduka yangu na kuhusu kusoma mpaka latatu nahisi nsingeweza kusimamia biashara zangu maaan hata kuzidisha kungenishinda
Kama ni maduka ya nguo kkoo hapo kidogo nimekuelewa... Unajua tatizo ni kwamba, wengi ambao washatoboa wanasema wamesoma hadi sehemu fulani lakini wakati huo huo wanakuambia hawaamini katika elimu! Sasa inakuwa inachanganya kwasababu naona kama vile kusoma hadi 4m4 ni safi kabisa, maana kuna mazimba wengi tu wameishia grade 7... Haha!
 
Kun watu [emoji42]!!
Online business gani?
Mbona wewe hujashawishika kufanya?
Am still in the learning curve mkuu na nimeanza taratibu sababu piah Leo ili u earn more unahitaji total commitment yaan 24hrs hours and sio part time
 
Pole kwa kutapeliwa,
Online hustler sio rahisi kutapeliwa.
Wanatapeliwa sana siku yao ikifika. Wangapi wameibiwa BTC za thamani kubwa kwa links na hacking wakati wao ni pioneers wa coins.
 
Mleta mada uliingiza 400M kwa online business?

Tuoneshe risiti yoyote ya manunuzi makubwa ya mamilioni, kama vifaa au mzigo wa kuuza uko madukani kwako.
 
Wanatapeliwa sana siku yao ikifika. Wangapi wameibiwa BTC za thamani kubwa kwa links na hacking wakati wao ni pioneers wa coins.
Utapeli umeuona kwenye BTC tu,
Kila mahala kwenye fursa kuna utapeli,
Pia niliandika '' sio rahisi kutapeliwa kwaiyo uwezekano upo pia".
 
Am still in the learning curve mkuu na nimeanza taratibu sababu piah Leo ili u earn more unahitaji total commitment yaan 24hrs hours and sio part time
Ni biashara gani!
Naomba kujuzwa labda nitakupa Abc's.
 
Muandiko wako ni kama kijana mwenye miaka 20.
Alafu uliwahi kusema unatafuta umaarufu.

Background yako imefanya ulichokiandika kionekane fantasy ili ufikishe ujumbe.

Well at least ujumbe umefika.
 
Wewe unazani kuwa na youtube au blpg Tanzania ni bure .Lazima ulipe hela hela aseh
Hiyo milioni moja si nyingi sana sana aseh Mkuu
Acha ujinga wakuandika vitu huvijui tumepigwa lock huko mzee aseh

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna chembe chembe za uongo hapa. Hii ni adithi ya sungura na fisi.
Nitakuelewa endapo utapangilia hoja yako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…